Rev. Eliona Kimaro: Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Na Rev. Eliona Kimaro

Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana

Hapatakuwa na amani kama hakuna haki, ukiona amani ipo mahali ujue ni kazi kubwa ya haki iliyotangulia, haki inatengeneza amani.

Tujitahidi kutenda haki katika familia zetu, katika mitaa tunayoishi, katika maisha yetu ya kawaida na katika nchi yetu tunayoipenda. Tutende haki ili amani iendelee kuwepo.

View attachment 3317251
Watu kama hawa ndio waliopelekea mauaji ya Kimbari kwenye nchi kama Rwanda.
 
Ubarikiwe sana Baba Mchungaji naomba wakusikie hawa viongozi wetu wajinga na wapumbavu wanaojifanya wanahubiri Amani wakati hawatendi haki .
Wasiokusikia na kujifanya kushupaza shingo motoni jehanamu ndipo kukawe makazi yao ya milele .Amina
 
Na Rev. Eliona Kimaro

Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana

Hapatakuwa na amani kama hakuna haki, ukiona amani ipo mahali ujue ni kazi kubwa ya haki iliyotangulia, haki inatengeneza amani.

Tujitahidi kutenda haki katika familia zetu, katika mitaa tunayoishi, katika maisha yetu ya kawaida na katika nchi yetu tunayoipenda. Tutende haki ili amani iendelee kuwepo.

View attachment 3317251
Mjumbe umfikie MamaSamia2025
 
Msimamo wa maaskofu wake wa KKKT wana msimamo wa kuitetea haki kama yeye mchungaji wa usharika tu wa kijitonyama?
 
Hata nchi zilzo endlea hakuna haki km mnavyotaka watanzania na viongozi hao wa dini wa mhemuko.Nchi znazosifika kua zina tenda haki hazitend haki nazmeendlea duniani
 
Na Rev. Eliona Kimaro

Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana

Hapatakuwa na amani kama hakuna haki, ukiona amani ipo mahali ujue ni kazi kubwa ya haki iliyotangulia, haki inatengeneza amani.

Tujitahidi kutenda haki katika familia zetu, katika mitaa tunayoishi, katika maisha yetu ya kawaida na katika nchi yetu tunayoipenda. Tutende haki ili amani iendelee kuwepo.

View attachment 3317251
Huyu mchungaji ni chadema aliyevaa joho. Chadema wanataka haki ipi tena zaidi ya ile tuliyowapa juzi kule kwenye msitu wa mabepwande?
 
Kuna mtu anapinga neno HAKI kweli humu ? Upstair atakuwa vizuri ?
 
Asilojua ni kwamba amani iliyepo ni zao la haki iliyopo, pasingekua na haki hata asingethubutu kusema aliyosema,

Ninachoona upande ule labda kwa bahati mbaya au kwa makusudi wamechoka kuishi wanataka kuwahi mbinguni

Ni either hawapendezewi na upande ule kuongoza au ni jinsia inawatesa, angekuwa ni mwanamke kutoka parokia sidhani kama yangekuwepo haya
Tujitahidi kuvumiliana ni masuala ya muda tu kuliko kupandikizana chuki huku mafunzo yenu yakisema muheshimu mamlaka?

Mbona wenzenu wakiwa na jambo wanaenda kwanza sehemu husika na kuongea na wahusika?
Huyu hivi aliwahi angalau kuongea na mkuu wa wilaya?

Fujo za kidini zikianza hazitasimama

Viongozi wa upande ule acheni kuchichea chuki na ugomvi, hamjachoka tu kuchochea na kugombanisha rwanda, burundi na sasa kongo?
Kwa hapa ni ngumu na mtafeli kwa kuwa hapa tunalindwa na Mungu
 
Tatizo ni namna ya kudai hiyo haki

"Ikiwa unamdai mtu, basi mfuate mtu huyo nyumbani kwake na umwambie kwamba nataka Haki yangu. Endapo kama Mtu huyo hataki kukupatia Haki yako na kisha akafunga milango, vunja mlango na Chukua Haki yako. Na hii itakuwa siyo Vita."

Mwl. J. K. Nyerere.
 
Safi,unamfunga Lissu ila kelele za haki zipo palepale
 
Back
Top Bottom