Rev. Eliona Kimaro: Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana

Rev. Eliona Kimaro: Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana

"Ikiwa unamdai mtu, basi mfuate mtu huyo nyumbani kwake na umwambie kwamba nataka Haki yangu. Endapo kama Mtu huyo hataki kukupatia Haki yako na kisha akafunga milango, vunja mlango na Chukua Haki yako. Na hii itakuwa siyo Vita."

Mwl. J. K. Nyerere.
Duh 🙄 !
Maneno mazito hayo !
 
Ukiwa na akili kidogo tuu utangudua mauaji ya kimbari yalitokea kwasababu HaKi haikutendeka.
Kwa hiyo walionyimwa haki wakastahili kupewa haki na maaskofu ya kuwachinja waliowanyima haki sio!!??
 
Back
Top Bottom