The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Ni wajibu gani watu watimize ili wasitekwe na kubambikiziwa kesi.Haki na Wajibu 🇹🇿
Watu kama hawa ndio waliopelekea mauaji ya Kimbari kwenye nchi kama Rwanda.Na Rev. Eliona Kimaro
Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana
Hapatakuwa na amani kama hakuna haki, ukiona amani ipo mahali ujue ni kazi kubwa ya haki iliyotangulia, haki inatengeneza amani.
Tujitahidi kutenda haki katika familia zetu, katika mitaa tunayoishi, katika maisha yetu ya kawaida na katika nchi yetu tunayoipenda. Tutende haki ili amani iendelee kuwepo.
View attachment 3317251
Anayetoa Haki ni Mungu wa mbinguniNi wajibu gani watu watimize ili wasitekwe na kubambikiziwa kesi.
Enyi mashetani?.
Mjumbe umfikie MamaSamia2025Na Rev. Eliona Kimaro
Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana
Hapatakuwa na amani kama hakuna haki, ukiona amani ipo mahali ujue ni kazi kubwa ya haki iliyotangulia, haki inatengeneza amani.
Tujitahidi kutenda haki katika familia zetu, katika mitaa tunayoishi, katika maisha yetu ya kawaida na katika nchi yetu tunayoipenda. Tutende haki ili amani iendelee kuwepo.
View attachment 3317251
Huyu mchungaji ni chadema aliyevaa joho. Chadema wanataka haki ipi tena zaidi ya ile tuliyowapa juzi kule kwenye msitu wa mabepwande?Na Rev. Eliona Kimaro
Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana
Hapatakuwa na amani kama hakuna haki, ukiona amani ipo mahali ujue ni kazi kubwa ya haki iliyotangulia, haki inatengeneza amani.
Tujitahidi kutenda haki katika familia zetu, katika mitaa tunayoishi, katika maisha yetu ya kawaida na katika nchi yetu tunayoipenda. Tutende haki ili amani iendelee kuwepo.
View attachment 3317251
Tatizo ni namna ya kudai hiyo haki
Ukiwa na akili kidogo tuu utangudua mauaji ya kimbari yalitokea kwasababu HaKi haikutendeka.Watu kama hawa ndio waliopelekea mauaji ya Kimbari kwenye nchi kama Rwanda.
akili yako haifai hata kuchambia chooni.Watu kama hawa ndio waliopelekea mauaji ya Kimbari kwenye nchi kama Rwanda.