Baba Bennetty
JF-Expert Member
- Jan 14, 2014
- 304
- 208
Kama haki inatolewa na Mungu....kupiga kura ni haki yako au ya Mungu na je kupiga kura ipo kwenye amri ipi ya MunguAnayetoa Haki ni Mungu wa mbinguni
Wajibu Uko kwenye Amri 10 za Mungu wa mbinguni
ππΉπΏ
Kabisa ! πUkweli ni Mungu.
Na Mungu ni ukweli.
Hata kama ukisema ukweli ukauawa haibadilishi ukweli.
Duh π !"Ikiwa unamdai mtu, basi mfuate mtu huyo nyumbani kwake na umwambie kwamba nataka Haki yangu. Endapo kama Mtu huyo hataki kukupatia Haki yako na kisha akafunga milango, vunja mlango na Chukua Haki yako. Na hii itakuwa siyo Vita."
Mwl. J. K. Nyerere.
HAKIHaki na Wajibu πΉπΏ
Kwa hiyo walionyimwa haki wakastahili kupewa haki na maaskofu ya kuwachinja waliowanyima haki sio!!??Ukiwa na akili kidogo tuu utangudua mauaji ya kimbari yalitokea kwasababu HaKi haikutendeka.
Tumia akili yako vzriWatu kama hawa ndio waliopelekea mauaji ya Kimbari kwenye nchi kama Rwanda.