jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mchungaji huyu mhafidhina kupitiliza.
Kila jema katika huduma yake mpya,acheni injili isonge mbele.
Kila jema katika huduma yake mpya,acheni injili isonge mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huo ni wivu wa kike,hata ukristo ulitokea katika uyahudi..unashangaa ukristo kuzalisha madhehebu kila siku?Kadri siku zinavyoendelea, jinsi inavyozidi kunyesha ndio tunaona panapovuja.
Ukristu huu wa kujianzishia makanisa tunavyotaka, umegeuza makanisa kuwa sehemu ya upigaji na wizi, na sehemu ya kula hela za wengi wenye mahangaiko na wasiojitambua.
Kuna wakati inaonekana ni biashara especially barani Africa.
Kwa mfano, hivi kanisa la TB Joshua bado lipo? Linaendeleaje? Mbona baada ya yeye kufa na kanisa nalo limekufa?
Embu funguka mkuu una maanisha nini?Huo uamuzi ni vyema angeufanya alipokuwa kijana.
Unajua ukitaka kugombana na wajinga wa dini uwaeleze ukweli?Mkuu huo ni wivu wa kike,hata ukristo ulitokea katika uyahudi..unashangaa ukristo kuzalisha madhehebu kila siku?
Fedha hata katika mahali unapo sali mnahitaji fedha vilevile tena ukute zaidi hata ya hayo madhehebu uliyoyataja.
Kila mtu ni mjinga katika jambo fulani,hata wewe kuna wa janja wanakukula vzr tu.
Maghembe.TAG
80% ya viongozi wake ni TIS
Mungu awajua walio wake....Mchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God T.A.G
Kama ilivyokuwa kwa wajina wa Maghembe, alikuwepo Moses Kulola ambaye alijitenga na T.A.G na kuanzisha E.A.G.T kwa kutokukubaliana na baadhi ya misingi ya kanisa haswa inapokuja suala la kumtumikia Mungu ipasavyo. Wengi tunafahamu uhodari wa Moses Kulola na huduma yake katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Rev. Maghembe ndiye mchungaji pekee alikuwa na uthubutu wa kukosoa uongozi wa askofu Mkuu wa kanisa la T.A.G Dr. Barnabas Mtokambali. Alikosoa kitendo cha kanisa la kiroho kutoa tuzo ya amani kwa mwendazake wakati matukio ya mauaji yalikuwa juu. Pia alikosoa waziwazi maadhimisho ya chama cha vijana ndani ya kanisa C.A.S yaliyofanyika Iringa kwa kufanya bonanza la mpira wa miguu. Maghembe alidai ile siyo njia ya kuhubiri injili ila ni kuishiwa kwa maono na kanisa kuanza kuiga mambo ya kidunia, kanisa linatakiwa kuleta athari duniani na siyo dunia ilete athari kanisani
Kuwa na ministry binafsi au kuwa chini ya uongozi. Wewe uko upande gani?
Kwamba ufalme wa Mungu hauwezi kuja kwako kisa unaua mbuzi na kuku?kwani Mungu yupo makanisani au ndani ya mtu
hakika nakuambia hivi Mungu anaish ndani ya mtu kila kitu unachokiona wewe na je ufalme wa Mungu utakuja kwako unayeua unaua kuku mbuzi wanyama .no big no big no
tukiweza kuish kwa upendo tukaacha uchafu roho wa Mungu atakuwa nasi
Jesus christ is here on earth ....follow him his new name
Pamoja na yote bado nguvu ya maokoto inaleta matata.Mchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God T.A.G
Kama ilivyokuwa kwa wajina wa Maghembe, alikuwepo Moses Kulola ambaye alijitenga na T.A.G na kuanzisha E.A.G.T kwa kutokukubaliana na baadhi ya misingi ya kanisa haswa inapokuja suala la kumtumikia Mungu ipasavyo. Wengi tunafahamu uhodari wa Moses Kulola na huduma yake katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Rev. Maghembe ndiye mchungaji pekee alikuwa na uthubutu wa kukosoa uongozi wa askofu Mkuu wa kanisa la T.A.G Dr. Barnabas Mtokambali. Alikosoa kitendo cha kanisa la kiroho kutoa tuzo ya amani kwa mwendazake wakati matukio ya mauaji yalikuwa juu. Pia alikosoa waziwazi maadhimisho ya chama cha vijana ndani ya kanisa C.A.S yaliyofanyika Iringa kwa kufanya bonanza la mpira wa miguu. Maghembe alidai ile siyo njia ya kuhubiri injili ila ni kuishiwa kwa maono na kanisa kuanza kuiga mambo ya kidunia, kanisa linatakiwa kuleta athari duniani na siyo dunia ilete athari kanisani
Kuwa na ministry binafsi au kuwa chini ya uongozi. Wewe uko upande gani?
show mercy usipokuwa na huruma hata na wanyama kuku mbuz binadamu unamwaga damu muda wote nan aliekuambia ufalme wa Mungu utakaa kwa wauaji ? karma wewe endelea kuua ? ujue utauawa iwe kuku ungefunguliwa macho ukaona waliokuwa wanaua wanachinja wanyama wako wap usingesemaKwamba ufalme wa Mungu hauwezi kuja kwako kisa unaua mbuzi na kuku?
Wapi Mungu kasema hili?
Dini ni siasa ya kale iliyovishwa joho la utakatifu feki wa Mungu asiyethibitishika.Mchungaji mwenye msimamo mkali inapokuja suala la kumtumikia Mungu aliye hai Rev. Moses Maghembe ameamua kujiondoa kuwa chini ya usimamizi wa kanisa la mahali pamoja laTanzania Assemblies of God T.A.G
Kama ilivyokuwa kwa wajina wa Maghembe, alikuwepo Moses Kulola ambaye alijitenga na T.A.G na kuanzisha E.A.G.T kwa kutokukubaliana na baadhi ya misingi ya kanisa haswa inapokuja suala la kumtumikia Mungu ipasavyo. Wengi tunafahamu uhodari wa Moses Kulola na huduma yake katika kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Rev. Maghembe ndiye mchungaji pekee alikuwa na uthubutu wa kukosoa uongozi wa askofu Mkuu wa kanisa la T.A.G Dr. Barnabas Mtokambali. Alikosoa kitendo cha kanisa la kiroho kutoa tuzo ya amani kwa mwendazake wakati matukio ya mauaji yalikuwa juu. Pia alikosoa waziwazi maadhimisho ya chama cha vijana ndani ya kanisa C.A.S yaliyofanyika Iringa kwa kufanya bonanza la mpira wa miguu. Maghembe alidai ile siyo njia ya kuhubiri injili ila ni kuishiwa kwa maono na kanisa kuanza kuiga mambo ya kidunia, kanisa linatakiwa kuleta athari duniani na siyo dunia ilete athari kanisani
Kuwa na ministry binafsi au kuwa chini ya uongozi. Wewe uko upande gani?
Wewe una matatizo ya akili. Mungu mwenye upendo wote ameruhusu binadamu kula wanyama halafu unaibuka wewe mjinga na elimu yako uchwara unaanza kupotosha eti kuua wanyama kunakuzuia kupata ufalme wa Mungushow mercy usipokuwa na huruma hata na wanyama kuku mbuz binadamu unamwaga damu muda wote nan aliekuambia ufalme wa Mungu utakaa kwa wauaji ? karma wewe endelea kuua ? ujue utauawa iwe kuku ungefunguliwa macho ukaona waliokuwa wanaua wanachinja wanyama wako wap usingesema
Nipo upande wa Mosses Maghembe na huyu ndio miongoni mwa watumishi wa Mungua sinner saved by Christ er sa wewe uko upande gani hapa.
Nipo upande wa Mossess Maghembe huyu ni miongoni mwa watumishi wa Mungu wa kweli wanaohubiri injili ADIMU sana ile injili ya kweli 100% pure concentrated isiyo kuwa diluted na mambo ya uraia wa dunia zaidi Mkristo wa kweli anatakiwa awe raia wa mbinguni anayeko safarini hapa duniani lakini aishi maisha ya mbinguni akiwq hapa duniani.a sinner saved by Christ er sa wewe uko upande gani hapa.