Kuna mambo mengi sana ya kidunia yameingizwa katika Ukristo ambayo asili yake ni kuzimu/shetani lakini yamekuwa adopted kutoka upagani(miungu ya kidunia) na kurasmishwa na kuhalalishwa katika taratibu za ibada za kikristo
Mengine yalikuwa too obvious ambayo hata kichaa tu anaona huu utaratibu hautokani na Mungu bali ni wa kidunia ..mfano zamani watu walikuwa wanauziwa vyeti vya msamaha wa dhambi unalipia unapata cheti au hati ya msamaha wa dhambi au tiketi ya kuingia mbinguni unauziwa unalipia unapata kwa fedha yako.
Na vingine vingi aliviona Matin Luther mtiolojia...
Kwa dunia ya sasa hivi ni baadhi ya tuvitu ambavyo vinaonekana ni tudogo tudogo ambavyo ni vya kidunia ambavyo mkristo raia wa mbinguni anapaswa kuviepuka ni pamoja na
1)kujipamba kujiremba hasa wanawake kusuka ,kuvaa mawigi,mapambo,kuvaa make ups ,kujichubua,rangi za kucha kope ,kuvaa kipachika vitu bandia kuvaa vito...kuna makorokoro mengi wanayotumia mapambo kujiremba wanawake ila hizo gadgets ni maagano na kuzimu.
2)njia Uzazi wa mpango dawa za uzazi wa mpango hazizuii mimba isiingie/isifanyike (fertilization)ila zinazuia mimba isitunge (implantation) yani katika ulimwengu wa kiroho anayetumia uzazi wa mpango anahesabika amefanya UTOAJI MIMBA ni kuua ROHO ZA HIZO MIMBA(uuwaji)
3)Pombe wakristo wengi wanafundishwa mafundisho potofu kuwa pombe siyo dhambi na muna wengine wanafika mbali wanatamani hata kuoa mitaala wana amini pia kuwa na wanawake wengi mitaala ndoa za wake wengi(pombe na uzinzi mitaala ndoa za mke zaidi ya mmoja ,maoenzi ya jinsia moja na mengine yanayofanana NI DHAMBI
4)Miziki ya kidunia,tamthiliya,filamu sinema katuni,ma super hero wakidunia superman,bat man,spider man dianey na hollywood nk nyingingi sinema na miziki ya kidunia .MIZIKI NA FILAMU ni sehemu za ibada ,miziki ile ya kidunia imebeba roho ya kuzimu inayolaani na kuweka maagano ya uharibufu wa maisha ya wote wanaoshiriki ibada ya kishetani kupitia kusikiliza kutazama miziki ya kidunia na sinema video movies za kidunia hollywood n.k hata katuni n.k
5)sikukuu za kipagani xmas,hallowen,happy birth day,na nyongine nyingi...hata hii ya mienge kukimbiza mwenge ..nyingi sana nibfhambi
6)mavazi wanaume wasivae mavazi ya kike na wanawake wasivae mavazi ya kiume ..nguo za fasheni za kidunia ni dhambi
7)michezo kama simba na yanga,ngumi,karate,mieleka n.k olympics n.k mingi sana ni dhambi hata watunisha misuli body builders ,models na ma miss dhambi tupu
8)MIZIMU kutambika mizimu ibada za wafu kama kuomba wafu wawasaidie na kiwatambikia mizimu ni dhambi,kuchanja chale ,kwenda kwa manabii wa mafuta ya upako,waganga wa kienyeji,mafuta ya upako na vitu vya upako kitoka kwq mitume na manabii...ni dhambi
KUCHORA MIILI TATOO na kuchanja chale...n.k,kuvaa mlegezo ,nguo zisizo na maadili kunyoa fasheni ,nguo zenye nembo alama za maagano ya kipepo..vingi sana ,mavazi na vito vingi vinakuwa na maagano vimenyiziwa hata vyakula vingi vimenuiziwa au vina maagano hivyo vyakula tunavyokula na mavazi tunayovaa mfano unakula chakula cha tambiko/kafara au kilichonuiziwa laana au nguo zilizo nembo au alama za ibada za kishetani zina laani maisha .
9)
View: https://youtu.be/EgkXodTKSrY?si=wvMsRBI82dMqSeXq