Rev. Moses Maghembe ajitoa T.A.G

Mkuu huo ni wivu wa kike,hata ukristo ulitokea katika uyahudi..unashangaa ukristo kuzalisha madhehebu kila siku?

Fedha hata katika mahali unapo sali mnahitaji fedha vilevile tena ukute zaidi hata ya hayo madhehebu uliyoyataja.

Kila mtu ni mjinga katika jambo fulani,hata wewe kuna wa janja wanakukula vzr tu.
 
Unajua ukitaka kugombana na wajinga wa dini uwaeleze ukweli?
Haya makanisa bandia yote yatakufa. Sio wivu, ila ni ukweli mtupu. Hayana vision wala mission. Ukweli na uongo huwa una tabia ya kujitenga
 
Mungu awajua walio wake....

Tuishi kwa kumtegema Mungu
 
Kwamba ufalme wa Mungu hauwezi kuja kwako kisa unaua mbuzi na kuku?
Wapi Mungu kasema hili?
 
Pamoja na yote bado nguvu ya maokoto inaleta matata.
 
Kwamba ufalme wa Mungu hauwezi kuja kwako kisa unaua mbuzi na kuku?
Wapi Mungu kasema hili?
show mercy usipokuwa na huruma hata na wanyama kuku mbuz binadamu unamwaga damu muda wote nan aliekuambia ufalme wa Mungu utakaa kwa wauaji ? karma wewe endelea kuua ? ujue utauawa iwe kuku ungefunguliwa macho ukaona waliokuwa wanaua wanachinja wanyama wako wap usingesema
 
Dini ni siasa ya kale iliyovishwa joho la utakatifu feki wa Mungu asiyethibitishika.

Ukishaelewa haya, hayo mengine yote hayatakushangaza.
 
Wewe una matatizo ya akili. Mungu mwenye upendo wote ameruhusu binadamu kula wanyama halafu unaibuka wewe mjinga na elimu yako uchwara unaanza kupotosha eti kuua wanyama kunakuzuia kupata ufalme wa Mungu
Soma Mwanzo 9:3 halafu leta Neno linalokataza watu kula wanyama sio unajiropokea tu.
 
a sinner saved by Christ er sa wewe uko upande gani hapa.
Nipo upande wa Mosses Maghembe na huyu ndio miongoni mwa watumishi wa Mungu
a sinner saved by Christ er sa wewe uko upande gani hapa.
Nipo upande wa Mossess Maghembe huyu ni miongoni mwa watumishi wa Mungu wa kweli wanaohubiri injili ADIMU sana ile injili ya kweli 100% pure concentrated isiyo kuwa diluted na mambo ya uraia wa dunia zaidi Mkristo wa kweli anatakiwa awe raia wa mbinguni anayeko safarini hapa duniani lakini aishi maisha ya mbinguni akiwq hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…