cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Tutazoea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoka machozi !Hata Zimbabwe anguko lake kiuchumi halikuwa kwa kasi kama hii, sisi ndani ya mwaka matukio ya aina hii yanaonyesha tunaishiwa kwa kasi kama mlevi aliyeingia baa na mshahara.
Ajabu wako mavuvuzela uchwara hilo BAK hata uwapigie Ngoma hawakuelewi. Wamelogwa?
Njaa haizoeleki mjomba , angalia takwimu za Tasaf ni hatari .Tutazoea tu
Njaa haizoeleki mjomba , angalia takwimu za Tasaf ni hatari .
Ni kubadili utawala .Kama wewe shangazi mjomba sasa hivi unaona nini kifanyike?
Nimemsikia Samia Suluhu yuko Mwanza anawaambia Halmashauri wakusanye kodi ili wajitosheleze na wasitegemee ruzuku toka Serkali kuu! Ni kitu ambacho hakitawezekana.
Who created "this situation" in the first place?With this situation ukimwaga miela mingi ya maendeleo tutaibonya tu.. Magu sio mjinga
Ni kubadili utawala .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi yao kusifia n mipasho tu. Wanachukua watu wenye hoja tu mipasho utakuta kwenye gazeti la uhuru.
Hajui tu ni jinsi gani anaumiza watu... CCM inajuta sana kutafuta watu wakuokoteza...Na hakuna kauli inayoniudhi kama "wanaolalamika ni wapiga dili". Mimi nina kabiashara kangu...wakati wa JK kalikua angalau kanaendelea vizuri...nilikua nimeajiri watu watano....na hata sikuwahi "kupiga dili"...kwanza hizo tenda za serikali sijawahi hata kujaribu. Sasa hivi kabiashara kanapumulia mashine..mfanyakazi kabaki mmoja na hata huyo ana hatari ya kuondoka. Eti na mie mpiga dili?
Na wenyewe wanaisoma Namba... Ndio Maana wanafikiria kupunguza watumishi wa Serikali tena... Dah... Wacha tumalize Akiba zetu tuje tudai kazi kilazima au Mtupishe...
Kwa amri... maagizo na matamko wako vizuri... ubaya wao hawajipi muda kufuatilia kwenye makabati yao kuna maazimio...maagizo na matamko mangapi hayafanyiwa kazi mpaka leo kabla ya kuendelea na mapya!!Nimemsikia Samia Suluhu yuko Mwanza anawaambia Halmashauri wakusanye kodi ili wajitosheleze na wasitegemee ruzuku toka Serkali kuu! Ni kitu ambacho hakitawezekana.
Hajui tu ni jinsi gani anaumiza watu... CCM inajuta sana kutafuta watu wakuokoteza...
Kingunge alisema mnachagua Rais si Nyapara watu hawakusikia!! Heri yao walijionea mapema wakajitenga na aibu hii inayokuja mbeleni.
Nasubiri takwimu za unemployment kutoka NBS (ambazo huenda zikapikwa). Maana zoezi la uhakiki vyeti limewaondoa watu wengi sana kwenye ajira...wengine ambao wanaujuzi hata kama vyeti ni shida. Halafu vyuo navyo vinazalisha wahitimu kila mwaka....UDSM imemwaga wahitimu wapya sokoni juzi. Sasa bado wanataka kupunguza tena? Mbona ni bomu la nyuklia linaandaliwa hapa?Hili la kupunguza Wafanyakazi wa Serikali litakuwa ni pigo lingine kubwa kwenye uchumi ambao tayari unayumba sana. Ni wakati sasa wa kuanza kuwasikiliza washauri wa mambo ya uchumi na kuwapa heshima yao wanaostahili badala ya kuwaona kama ni pingamizi wanataka tu kumchelewesha mtu asiyetaka kucheleweshwa na yeyote yule.
Ombi langu tu ni kwamba busara itawale huko chamani wasije wakaturudishia tena huyu jamaa 2020Hajui tu ni jinsi gani anaumiza watu... CCM inajuta sana kutafuta watu wakuokoteza...
Kingunge alisema mnachagua Rais si Nyapara watu hawakusikia!! Heri yao walijionea mapema wakajitenga na aibu hii inayokuja mbeleni.
Yaani wewe unawaza chama kikuletee mwingine au kuifagia kabisa CCM na laana zake?Ombi langu tu ni kwamba busara itawale huko chamani wasije wakaturudishia tena huyu jamaa 2020
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi baada ya kuona ile sinema ya jecha znz...imani yangu kwamba ccm inaweza kufyekwa bila damu kumwagika imetetereka.....na walishasemaga bungeni kwamba hawawezi kuondoka kwa makaratasi. Sasa wakati tunafuta namna ya kuwaondoa...basi walau watuletee mtu mwenye hulka ya uongozi kuliko huyu.Yaani wewe unawaza chama kikuletee mwingine au kuifagia kabisa CCM na laana zake?
Sidhani kama ni Pigo sana maana miaka yote tulikuwa tunashauriana wenyewe kwa wenyewe kuwa tusitegemee sana kazi za kuajiliwa... wengine waliweza kujiongezea vipato wakafanikiwa na wengine waliweza hata kuacha kazi zao nzuri na kijukita kwenye issue tofauti... Sasa nadhani ndio tunaelekea hali ngumu na kila hali ngumu imtokeapo mtu ile akili ya asili hufunguka ili aendelee kuishi akili hizo sometimes huwa zinatuma vizuri au vibaya mbaya ni uwizi.. Nchi zilizoendelea zimepita kwenye vipindi hivi matokeo yake wakavumbua njia nyingi za kuwawezesha kuishi kwa maisha ya hali ya juu sana... ila wenzetu walikuwa na elimu sio sisi elimu za kuajiliwa unasomea hiki unaenda kufanyia kazi kingine....Hili la kupunguza Wafanyakazi wa Serikali litakuwa ni pigo lingine kubwa kwenye uchumi ambao tayari unayumba sana. Ni wakati sasa wa kuanza kuwasikiliza washauri wa mambo ya uchumi na kuwapa heshima yao wanaostahili badala ya kuwaona kama ni pingamizi wanataka tu kumchelewesha mtu asiyetaka kucheleweshwa na yeyote yule.