Revealed: Government development projects are underfunded

Tuna hali mbaya kwa kweli. Lakini ni sawa, wanakusanya hela wanaficha sasa shughuli za kiuchumi zitaendeshwaje mtaani. Hope less.
 
Mkuu mimi baada ya kuona ile sinema ya jecha znz...imani yangu kwamba ccm inaweza kufyekwa bila damu kumwagika imetetereka.....na walishasemaga bungeni kwamba hawawezi kuondoka kwa makaratasi. Sasa wakati tunafuta namna ya kuwaondoa...basi walau watuletee mtu mwenye hulka ya uongozi kuliko huyu.
Wanacheua hayo maneno kwasababu ya reaction mdogo ya watanganyika!!

Umeona kule DRC Kabila kasalimu amri? Uliona KANU ilivyoondoka Kenya?

Hakuna kinachoweza shindana na historia na wakati huyu bwana ndo kapandisha nyongo za watu sidhani kama kuna mtu ataaminika tena toka CCM kama huyu bwana alipata chini ya 60% kwa hali hii tarajia mengine...

Yetu macho mkuu.
 
Magufuli hata ukimwangalia machoni unamuona ameshindwa amechoka na amepoteza uelekeo hajui aivushe vipi nchi hii sasa hivi wamebaki kuongopa na kujitenga na wananchi kila kitu wanamwachia mwananchi yaani wanajifanya wao ndio alfa na omega
 
Unajiajiri katika uchumi unaoyumba kiasi hiki? Wateja wako watakuwa ni akina nani wakati kila mtu nchini anapiga kelele pesa imepotea nchini? Msome mkuu mmoja hapo juu aliyejiajiri na kuweza kuajiri wafanyakazi 5 sasa kabaki mmoja tu naye yuko kwenye hati hati ya kumuachisha. Mzunguko wa pesa unapopungua nchini unaathiri kila kitu hata wale waliojiajiri pia biashara zao zinakuwa doro.

Sidhani kama ni Pigo sana maana miaka yote tulikuwa tunashauriana wenyewe kwa wenyewe kuwa tusitegemee sana kazi za kuajiliwa... wengine waliweza kujiongezea vipato wakafanikiwa na wengine waliweza hata kuacha kazi zao nzuri na kijukita kwenye issue tofauti... Sasa nadhani ndio tunaelekea hali ngumu na kila hali ngumu imtokeapo mtu ile akili ya asili hufunguka ili aendelee kuishi akili hizo sometimes huwa zinatuma vizuri au vibaya mbaya ni uwizi.. Nchi zilizoendelea zimepita kwenye vipindi hivi matokeo yake wakavumbua njia nyingi za kuwawezesha kuishi kwa maisha ya hali ya juu sana... ila wenzetu walikuwa na elimu sio sisi elimu za kuajiliwa unasomea hiki unaenda kufanyia kazi kingine....

Kwa Nchi kama Yetu am sure tutaabika Sana... Huyu Baba Speed yake kaikosea hesabu so mwishowe Engine itaknock tu maana hatizami kama Oil hamna.... Unakusanya kodi kwa watu wasio na kitu... atatufunga tu ajue kama mimi Load Licence ya Basi langu moja nililolikata kata sitolipa aminia...

Kuhusu Ushauri huyu Baba yetu wa sasa haambiliki na ukiweka Ushauri unashambuliwa na wapambe hii inaonesha wapambe kweli ni Nuksi... Kiufupi nataka Jamaa aumbuke sana kwa aina yake ya kuendesha Nchi... Tushapoteza vyetu vingi hivyo we have nothing to loose wala kuogopa... tumebanwa kila kona... Mikutano,Maandamano,Kwenye vyombo vya Habari... makazini yaani acha tu... Mkombozi wa Tanzania Atatoka Nje ya Tanzania
 
Mkuu ulishaona wapi CEO anaokotezwa? Ukiona mnafika hatua mnaokoteza tu watu mjue mmekwisha!!
 
Wanacheua hayo maneno kwasababu ya reaction mdogo ya watanganyika!!

Umeona kule DRC Kabila kasalimu amri? Uliona KANU ilivyoondoka Kenya?

Hakuna kinachoweza shindana na historia na wakati huyu bwana ndo kapandisha nyongo za watu sidhani kama kuna mtu ataaminika tena toka CCM kama huyu bwana alipata chini ya 60% kwa hali hii tarajia mengine...

Yetu macho mkuu.
Mkuu wabongo huwezi kuwafananisha na wakongo au wakenya....wenzetu wako tayari hata kumwaga damu ili haki itendeke. Sisi huku tumedumazwa ("wapenda amani"). Sehemu kama dodoma huko ambapo wanapataga njaa mpaka kula viwavi...lakini wakati wa uchaguzi wakipewa khanga na t-shirt za kijani basi kura zao zote zinaenda huko.

Anyway...usemavyo ni kweli..yetu macho...tuombeane uhai tu.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Saturday, November 19, 2016
Bana matumizi ya Serikali iangaliwe upya - Sigalla

siga.jpg

Mbunge wa Makete (CCM), Profesa Norman Sigalla.

Kwa ufupi
Profesa Sigalla ametoa kauli hiyo ikiwa ni tathmini yake ya mwaka mmoja wa utawala wa Rais John Magufuli akisema amerejesha imani kwa wananchi kutokana na uchapakazi alioonyesha tangu aingie madarakani baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015.

By Tumaini Msowoya, Mwananchi tmsowoya@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Mbunge wa Makete (CCM), Profesa Norman Sigalla amesema hatua ya Serikali kubana matumizi ikiwamo kuzuia mikutano na semina inapaswa kuangaliwa upya kwa mwaka ujao wa fedha kwa sababu ndiyo itakayosaidia mzunguko wa fedha na hivyo wananchi wa chini kuwa na kipato cha uhakika.

Baadhi ya mambo aliyofanya ni kudhibiti matumizi holela ya fedha kwa kuzuia semina na warsha kufanyika kwenye hoteli, kufuta posho za vikao na safari za nje zisizo na tija.

Mkuu ulishaona wapi CEO anaokotezwa? Ukiona mnafika hatua mnaokoteza tu watu mjue mmekwisha!!
Hakika Sijakuelewa vizuri kama unazungumzia hii quote yangu,au hiii thread au umeenda nje zaidi ya Thread...
 
Magufuli hata ukimwangalia machoni unamuona ameshindwa amechoka na amepoteza uelekeo hajui aivushe vipi nchi hii sasa hivi wamebaki kuongopa na kujitenga na wananchi kila kitu wanamwachia mwananchi yaani wanajifanya wao ndio alfa na omega
Alianza kwa sifa saaana... oooh nchi ilioza...oooh kila mahali kuchafu.... oooh nchi hii ni tajiri ninyi watanzania hamkustahili kuwa mlivyo leo na bla bla nyiingi wameishia kula michango ya wananchi wao wa maafa ya Kagera!!!
 
Ndio hapo tunaposhangaa kuona serikali wameanza kufanya maigizo kwamba eti fedha zilizoko kwa waziri mkuu ziko salama hatuambiwi ngapi na Mku wa mkoa anasema bilioni tano zimekusanywa akaunti ya Bukoba wakati waziri mkuu alitangaza ndio zimepatikana unawaibia wahanga bila aibu ndio maana viongozi wengine hulaanika kwa dhuluma
 
Hakika Sijakuelewa vizuri kama unazungumzia hii quote yangu,au hiii thread au umeenda nje zaidi ya Thread...
Asante kwa kutonielewa... tuendelee kusomana huenda utaelewa... ila tone ya ujumbe inaendana na mtiririko wa thread hii.
 
Ndio hapo tunaposhangaa kuona serikali wameanza kufanya maigizo kwamba eti fedha zilizoko kwa waziri mkuu ziko salama hatuambiwi ngapi na Mku wa mkoa anasema bilioni tano zimekusanywa akaunti ya Bukoba wakati waziri mkuu alitangaza ndio zimepatikana unawaibia wahanga bila aibu ndio maana viongozi wengine hulaanika kwa dhuluma
Hakuna pesa mkuu, mambo yanakwenda arijojo!! Hii ni laana CCM imezoea kudhulumu ushindi wa watu ndio maana laana inawatawala.... kila wanachoshika mikononi mwao hunajisika !!
 
Mkuu wabongo huwezi kuwafananisha na wakongo au wakenya....wenzetu wako tayari hata kumwaga damu ili haki itendeke. Sisi huku tumedumazwa ("wapenda amani"). Sehemu kama dodoma huko ambapo wanapataga njaa mpaka kula viwavi...lakini wakati wa uchaguzi wakipewa khanga na t-shirt za kijani basi kura zao zote zinaenda huko.

Anyway...usemavyo ni kweli..yetu macho...tuombeane uhai tu.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
jibu ni kuwa watanzania wengi tunaudumavu wa akili kwa sababu ya utamia mlo kwashakor na nyongea ( marasmus) na (stunt) kwa takwimu za watafiti ni asilimia karibia nusu ya wakati wote wa Tanzania ndio maana watu wanaona sawa wanasali eti Mungu ashuke ampe adhabu Magufuli badala ya kuamka na wao kuanza kudai haki zao
 
Saturday, November 19, 2016
Bana matumizi ya Serikali iangaliwe upya - Sigalla

siga.jpg

Mbunge wa Makete (CCM), Profesa Norman Sigalla.

Kwa ufupi
Profesa Sigalla ametoa kauli hiyo ikiwa ni tathmini yake ya mwaka mmoja wa utawala wa Rais John Magufuli akisema amerejesha imani kwa wananchi kutokana na uchapakazi alioonyesha tangu aingie madarakani baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015.

By Tumaini Msowoya, Mwananchi tmsowoya@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Mbunge wa Makete (CCM), Profesa Norman Sigalla amesema hatua ya Serikali kubana matumizi ikiwamo kuzuia mikutano na semina inapaswa kuangaliwa upya kwa mwaka ujao wa fedha kwa sababu ndiyo itakayosaidia mzunguko wa fedha na hivyo wananchi wa chini kuwa na kipato cha uhakika.

Profesa Sigalla ametoa kauli hiyo ikiwa ni tathmini yake ya mwaka mmoja wa utawala wa Rais John Magufuli akisema amerejesha imani kwa wananchi kutokana na uchapakazi alioonyesha tangu aingie madarakani baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015.

Baadhi ya mambo aliyofanya ni kudhibiti matumizi holela ya fedha kwa kuzuia semina na warsha kufanyika kwenye hoteli, kufuta posho za vikao na safari za nje zisizo na tija.

Prof kaenda Chaka... Kuadimika kwa Mzunguko wa Pesa na hizo semina ni pesa ndogo sana...na hata hivyo pesa zikienda kwa watu wa mahotel wao watalipa madeni yao tu maana wamekopa na hamna namna nyingine Issue ipo Bandarini lango la Biashara apunguze vizuizi na kodi nyingi mno... na aache kuwatisha Wafanyabiashara... pengine awahakikishie kabisa usalama wao... maana Hamna namna... Pia Kumshirikisha Mungu kwa mambo ambayo yapo kwa upande mmoja tu wengine anawapiga wengine anawalinda huku akijidai kuwa hawezi fukua mashimo maana atashindwa kuyafukia wakati alijiapiza kuwa amejitolea hata maisha yake yakiwa hatarini lazima ainyooshe nchi kaonesha kufail kabisa...and then anaomba aombewe... Laanatul
 
Mkuu kama mapato yameongezeka kwanini watoe less than 50% ya bajeti ya maendeleo? Katika bajeti ya maendeleo ya 824 billion wametoa 387 billion tu na hivyo kuwepo na upungufu wa shilingi 437 billion. Kwanini wanashindwa kulipa deni la MSD la bilioni 100 na kusababisha uhaba mkubwa wa dawa nchini? Kwanini wanashindwa kuajiri na kuongeza mishahara kwa Watanyakazi wa Serikali kwa kisingizio cha uhakiki wa mara hili mara lile uhakiki usiokwisha? Uchumi wa nchi uko DORO mkuu siyo siri sijui kwanini hawataki kuukubali ukweli na kuamua kubadili mueleko haraka sana ili kunusuru uchumi wa nchi. Na huu mradi wa kuhamia Dodoma usitishwe mara moja, kwa sasa hauna tija kabisa kwa Watanzania ukiendelea utazidi kuyumbisha uchumi wa nchi.

Mbona TRA wanasema makusanyo yameongezeka?
 
alidhani urais ni kamakuwapelekesha na kuwaamuru makandaras wa tanroads. Sasa anaumbuka!

Ignorance is so bad look now how peoples lives are completely mess up
Hapa kazi Tu itageuka shubiri na hatotaka kuisikia kama ilivyokua maisha bora kwa kila mtanzania ya Kikwete ambayo mpaka anaondoka hakuthubutu kuitamka!!!
 
Unajiajiri katika uchumi unaoyumba kiasi hiki? Wateja wako watakuwa ni akina nani wakati kila mtu nchini anapiga kelele pesa imepotea nchini? Msome mkuu mmoja hapo juu aliyejiajiri na kuweza kuajiri wafanyakazi 5 sasa kabaki mmoja tu naye yuko kwenye hati hati ya kumuachisha. Mzunguko wa pesa unapopungua nchini unaathiri kila kitu hata wale waliojiajiri pia biashara zao zinakuwa doro.
Sasa ndio kila aliyeajiliwa ajitume ipasavyo japo inakatisha Tamaa... Nchi imekuwa kama Ipo Msibani
 
Pesa iliyobanwa si ya semina tu Mkuu. Fungua akili yako ili uweze kuona mbali. Fuatilia habari kwa kina ili uelewe kinachoendelea nchini kwa kina. Mbona yote yanayojiri nchini huwa yanajadiliwa humu ikiwemo ya uchumi kuyumba?

Prof kaenda Chaka... Kuadimika kwa Mzunguko wa Pesa na hizo semina ni pesa ndogo sana...na hata hivyo pesa zikienda kwa watu wa mahotel wao watalipa madeni yao tu maana wamekopa na hamna namna nyingine Issue ipo Bandarini lango la Biashara apunguze vizuizi na kodi nyingi mno... na aache kuwatisha Wafanyabiashara... pengine awahakikishie kabisa usalama wao... maana Hamna namna... Pia Kumshirikisha Mungu kwa mambo ambayo yapo kwa upande mmoja tu wengine anawapiga wengine anawalinda huku akijidai kuwa hawezi fukua mashimo maana atashindwa kuyafukia wakati alijiapiza kuwa amejitolea hata maisha yake yakiwa hatarini lazima ainyooshe nchi kaonesha kufail kabisa...and then anaomba aombewe... Laanatul
 
Hakuna pesa mkuu, mambo yanakwenda arijojo!! Hii ni laana CCM imezoea kudhulumu ushindi wa watu ndio maana laana inawatawala.... kila wanachoshika mikononi mwao hunajisika !!
Pia na upofu wa utawala sasa kama Mkuu wa nchi mshauri wake wa karibu anakuwa kama Makonda na Gambo unategemea maendeleo kweli watu wapo kuharibu halmashauri kulazimisha ugawaji wa maeneo yasiyostahili yaani Ubungo na Kinondoni na kuweka Meya magumashi Hivi Mungu attacha kuwapa mkono wa laana kweli nchi imesimama hakuna kinachooenda deni ndio lina paa kuliko kawaida
 
Back
Top Bottom