Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Katika hizi kesi 9/10 Pesa inahusika wee pesa kwanini unatutesa hivi ina maana...ngoja nisiendelee maana hasira zinanipanda taratibu nisije nikavunja simu yangu kwa hasira.
 
Mwanaume wa kweli haumizwi na mwanamke hata siku moja, unajinyima unampa yeye huyo mkeo? Haya ni maneno ya kishujaa tu sio chochote unachoweza kumfanyia maana dume kamili huwezi lialia huku mbele ya Umma ila ungefanya tu kwa kitendo ukutane na sheria ukavunje mawe maweni tanga kwa ujenzi wa Taifa.
Wewe umekutana na mtu keshapendeza unataka kujimilikisha kirahisi kimikwara unajua alikotokea mpaka akakuvutia? Kila mtu na uhuru wake, sio mkeo huyo na hakukutongoza wala hajakutuma kumgarimikia, tumia akili wakati mwingine badala ya ujinga.
 
Watakaoumia zaidi ni wazazi wa pande zote, so jiandae kuumiza watu wengi zaidi ya huyo bi dada, hata hivyo mkuu wanawake waaminifu 100% ni wachache saana.
 
Sasa kama unajua hautaki ushauri umeweka thread hapa ili iweje? Au ndo unataka tukusaidie kukupatia namba za wapiga picha waje siku ya tukio!

Tunasubiria part 2 tujue kilitokea kitu gani but be very careful

Happy new year in advance
Kaweka km funzo kwa wengine wenye tabia km ya huyo mwanamke.
 
Halafu ukifika huko mrushie ngoma moja kaimba TARRUS RILEY-SORRY IS A SORRY WORD
 
KWELI MKUU
380717.jpg
 
Back
Top Bottom