Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Achen nyie hivi vitu vinauma sana, mi ni mwaminifu sana kwa huyu mwanamke, sijawahi wala kuwaza kumcheat.. nampa hela na mahitaji yote nampa, wazee nilikuwa namuona kama wife soon anahamia kwangu kihalali alafu yeye ananiletea uboya, huu si ufala huu.. atalipia
 
RETALIATION IS A MUST!

Naunga mkono mpango mkakati, hakuna tabia inayoumiza kama unafiki wa mapenzi...

Wanawake mjifunze ukiwa na mtu amekuamini na kujitolea kufanya lolote kwa ajili yako na ukaridhia kuwa unampenda kweli hutasaliti basi uwe na msimamo thabiti juu ya hilo, kusema hapana ama ku block contact na kumripoti mtu yeyote atakaeyumbisha msimamo wako ni swala la kuzingatia. Shida wanawake wengi sikuhizi ni mama huruma na wanahisi ni rahisi ku cheat pasi na kukamatwa!
 
Hivi huyu anayependa side si shoga huyo atashindwaje kula dume lenzake aisee dunia imevaa chupi sio sket tena na sio muda itakua uchi mtoto kugonga mama yake itakua normal mtoto wa kiume kugongwa na baba yake itakua normal kama chet cha bachiteee
 
Andika wosia wako maana segerea itakuhusu au Binti atakufanyia kitu mbaya mara dufu ya unachopanga kumfanyia.

Japo utafanikiwa kwa siku hiyo ila na wewe atakufanyizia tu.

Karma ni mbwa.
 
Hii inaitwa Operation Fundisho
Active Status : Mission is a Go
By 8th January 2018: Mission Successful
Naunga mkono maamuzi yako ndugu, Hakuna kumuacha kirahisi rahisi tu lazima afundishwe kitu kwamba good man sio mtu wa kumchezea na ukionyeshwa kupendwa basi ridhika na ukipatacho. Mpe fundisho la haja kiasi kwamba hata kama akipata tena good man hatorudia uchafu wake na akili itamkaa sawa. Maamuzi yako ni sahihi kutokana na maumivu unayopata ya kuchezewa akili, hisia na moyo wako.
I repeat Mission Is A Go.
Nasubiri mrejesho
Over and Out
Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??

Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi nakuumiza mara 10 alafu fresh, maisha yenyewe mafupi haya, mi niwe na stress alafu wew ucheke ili kiwe nini... sipendagi ubwege kabisa, na nitabaki kwenye kumbukumbu zako milele ukijifanya kuniletea habari za ajabu..

Miez 8 iliyopita nilidate na dada mmoja hivi mrembo, height moja hivi mauzo sana na mzigo wa kuvuta huko nyuma haukuwa haba, kifupi mvuto wa yule dem hauna shaka, kama ni maksi basi A ya 95+... mapema nikamwambia mambo ya kiboya sitaki, km utacheat jitahidi nisijue, nikijua umeumia....Akajifanya hadi kulia pale kwamba ananilove nyang'anyang'a na kamwe hakuna mwanaume kama mimi, nikasema poa but take my words ukinizingua hutoamini nitakachokufany, na km hunitaki niache uende, na kama pia itakuw mechi za dharula tu alafu kimya tuambiane, moyo wangu hauchezewi.. akasema nisiwe na shaka ananipenda, nikasema poa.

Tabia yangu ni kwamba kamwe siwezi kuwa na mpenzi zaid ya mmoja kwa wakati mmoja, so nikiwa na mmoja huyo huyo. Sasa mwezi mmoja nyuma nikausoma mchezo dizain kama demu wangu analiwa hivi, sikumuuliza, nikakomaa hadi nikapata password zake facebook na insta.. nikazama inbox yake, daah ni balaa tupu, ashapigwa mashine na mshikaji mmoja hivi, then jamaa dizain kama anakomaa naye amle 0715 hiv sema demu anabana.. text yake hii hapa..

"Baby naridhika sana nawew, ila unanibania side B, nyimbo za side A zote nimeskiliza why uninyime za side B mpenz?, kama side A nilsikilza kwa elfu 70 bas side B lazma dau lipande.. nielewe bas"

Demu akajibu..

"Mi nina mtu na tuna malengo je akigundua na kuniacha itakuwaje"

Jamaa..

"Hawezi gundua, kwani huwa anakagua huko, ila navyokujua huwez nibania.. nitakutoa out ukafanye shopping ya maana, na nitakutumia 100,000 kesho"

Demu...

"Mmh poa tutaangalia tukikutana tar.22 jamaa akiondoka kama tulivyopanga".

Zipo nyingi nying but hizo kiufupi,....

Mimi kwa huyu demu..., nampa nachopata, najinyima sana apate yeye, nishamtoa shopping za maana mara kibao na tayari nishaandaa pesa nzuri tu kwa ajili yake, Krismass na mwaka mpya, maana tar.hizo sitakuwepo kutokana na majukum ya kazi yangu, nammudu kiujumla, nguo, usafiri, pesa ya kula, malazi nafanya mimi.. yeye hana chochote zaid ya gamba lake la diploma. Muda wote huo sina demu zaid yake.. na on bed naperfom fresh hadi anaomba poo yeye..

Nilichokifanya baada ya kugundua hilo, nimescreenshot charting zote hadi picha walizopiga wakiwa lodge wametumiana kupitia fb messenger nimejitumia kwenye simu yangu, then nimeuchuna.. kifupi tayari nimeshampiga chini ila siwez kumwambia tuachane kiboya boya hiv bila yeye kuonja joto la jiwe kidogo, na kamwe sitafanya naye mapenz tena.. ambacho kimebaki kwake ni kumpa kidonda cha milele..

Ifahamike ananipenda japo tamaa anazo, ashanitambulisha kwa rafiki zake wote, dada yake, hadi mama yake.. kifupi anaitwa mrs mimi... na uchafu anaoufanya ni siri kubwa sana na ndo maana anatumia fb messenger maana anajua siwez hisi chochote huko.. tayari tarehe ya kupeleka barua ishapangwa, tarehe 07 jan... mashangazi zake wote wanajiandaa kwa tukio hilo.. upande wetu pia tunajiandaa..

Nataka nifanye nini?? Siku hiyo ya tukio la kwenda kwao kujitambulisha rasmi ndo siku yangu ya kumuumiza, maana kwao anaaminika sana, anaimba kwaya kanisan, ana vyeo vingi ving vya huko kanisani.. na huwezi mzania hata kidogo kama ni mshenzi.. siku hiyo mbele ya Mchungaji wake, ndugu zake, mama ake, mashangazi na marafiki zake wakiwa na smartphone zao naenda umiza mtu vibaya sana, sio kwamba nitampiga hapana, ila nataka nimafanyie tukio ambalo litaweka maumivu ya kudumu kwenye moyo wake na kamwe hatokuja nisahau..

Tarehe 7 january, save the date....

USIPOTEZE MUDA KUNISHAURI CHOCHOTE, HUWA NIKIPANGA SIPANGUI..
 
This won't end well... I can imagine. Binti akijiua huwezi kutafutwa kweli ? Na vile ushatoa clue humu hawa wanaoshabikia ndo wakwanza kukukataa baadae. Siungi mkono anayoyafanya huyo dada lakini angalia usiharibu future yako kwa ajili ya mwanamke. Unaweza kumpa somo zuri lakini angalia consequences.
 
RETALIATION IS A MUST!

Naunga mkono mpango mkakati, hakuna tabia inayoumiza kama unafiki wa mapenzi...

Wanawake mjifunze ukiwa na mtu amekuamini na kujitolea kufanya lolote kwa ajili yako na ukaridhia kuwa unampenda kweli hutasaliti basi uwe na msimamo thabiti juu ya hilo, kusema hapana ama ku block contact na kumripoti mtu yeyote atakaeyumbisha msimamo wako ni swala la kuzingatia. Shida wanawake wengi sikuhizi ni mama huruma na wanahisi ni rahisi ku cheat pasi na kukamatwa!
Mkuu huwezi amini.. huyu mwanamke, nampa kila kitu, we jua hivyo. Simu, nguo had za ndani.. dadeki
 
Achen nyie hivi vitu vinauma sana, mi ni mwaminifu sana kwa huyu mwanamke, sijawahi wala kuwaza kumcheat.. nampa hela na mahitaji yote nampa, wazee nilikuwa namuona kama wife soon anahamia kwangu kihalali alafu yeye ananiletea uboya, huu si ufala huu.. atalipia

Ila mwana Ni kweli ulikuwa una muhudumia shemeji?!! Maana kuliwa kwa 70,000 ni dharau ujue na mtandao pendwa atoe kwa 100,000.

Najua umeleta hapa ili tukufariji sasa wanaume ambao wanatenda wasemayo huwa hawapo hivyo, wewe ungesubiri Jan ufanye tukio halafu ndio uje hapa kutuelezea.

Kwahiyo Tarehe 22 shemeji anaenda kuliwa mtandao pendwa [emoji23]
 
Andika wosia wako maana segerea itakuhusu au Binti atakufanyia kitu mbaya mara dufu ya unachopanga kumfanyia.

Japo utafanikiwa kwa siku hiyo ila na wewe atakufanyizia tu.

Karma ni mbwa.
Mkuu mi mafia, nyoko ila mbaya, na huwa sipendi mtu acheze na furaha yangu.. na bahati nzuri tangu mapema nilimtahadharisha.. ananiona mi boya eti.. lolote liwe
 
Back
Top Bottom