Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mkuu kama mm mama swalehe nachopanga najua kichwan ila ntaleta mrejesho sichezew na mbwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa mademu wasengerema sana.. we subiri kakaMkuu kama mm mama swalehe nachopanga najua kichwan ila ntaleta mrejesho sichezew na mbwa
Akaliwe tu, na simwambii chochote hadi azma yangu itimie..Ila mwana Ni kweli ulikuwa una muhudumia shemeji?!! Maana kuliwa kwa 70,000 ni dharau ujue na mtandao pendwa atoe kwa 100,000.
Najua umeleta hapa ili tukufariji sasa wanaume ambao wanatenda wasemayo huwa hawapo hivyo, wewe ungesubiri Jan ufanye tukio halafu ndio uje hapa kutuelezea.
Kwahiyo Tarehe 22 shemeji anaenda kuliwa mtandao pendwa [emoji23]
Akikutag na Mimi unitag siku hiyo.ngoja nisave hii date mzee ukurudisha mrejesho nitag asee stak kukosa hii movie kuna cha kujifunza
Bro Je Sisi Wanaume Hatucheat?RETALIATION IS A MUST!
Naunga mkono mpango mkakati, hakuna tabia inayoumiza kama unafiki wa mapenzi...
Wanawake mjifunze ukiwa na mtu amekuamini na kujitolea kufanya lolote kwa ajili yako na ukaridhia kuwa unampenda kweli hutasaliti basi uwe na msimamo thabiti juu ya hilo, kusema hapana ama ku block contact na kumripoti mtu yeyote atakaeyumbisha msimamo wako ni swala la kuzingatia. Shida wanawake wengi sikuhizi ni mama huruma na wanahisi ni rahisi ku cheat pasi na kukamatwa!
Huna mdogo wako mkuuMm ni mwanamke, nimeumia sana pale unapompa MTU moyo wako akauchezea.
Wewe uko kama mm nikimpenda MTU nimemaliza, tamaa zote naweka chini, na kipindi hicho nakutana na visu vikali sana, ila najipa moyo kuwa huyu ni shetani hawezi kumzidi bf wangu, kiukweli na huwa no sitowagi
Wakuu hakuna mwaka niliopata vishawishi kama huu, tiyari nishapata Bf yupo mbali nampenda namuheshimu, yaan utafikiri yupo karibu nami,
Kazi ninayoifanya lazima nikutane na high class people, kwenye lift naenda ofisini ndo ysiseme, nakutana na wanaume balaa ila naajipa moyo kuwa L ni the right person.
Juzi nimeenda kutembelea Wateja( marketing) nilikutana na mkaka baadae ya kumuelezea tunachokifanya nikaondoka kabla sijafika mbali akaniita,
' Dada umeolewa, nikajibu,hapana ila Nina mchumba, akauliza tena " a u sure ni the right person kwako? Nikajibu ndio, akasema " mm Niko kwenye maandalizi ya kutafuta mchumba ambae unataka niwe nae kwenye mahusiano miezi 6 afu nioe kama mambo yataenda sawa, maana kila.kitu nimeshafanya, kama umenidanganya nakupa dk 10 jitafakari unipe no, nikamjibu hapana kaka Nina mchumba, kaondoa ndinga yake kaondoka.
Imagine haya yoteee na mengine ambayo sijasema najibana, kwa ajiri yake Leo MTU akifanyie ujinga??
Sijawahi kucheat nikiwa tiyari kwenye mahusiano mungu ndo shahidi.
Mleta mada revenge 100× MTU kuchezea moyo wako ni ujinga, yaani una full support yangu, kama ni kutafuta petrol mm nakupa kiberit,(kidding) tho usifanye hivi
Go go go gooo trh 7 mrejesho plz
Pole mkuu . Ila nipo hapa nangojea mrejesho wa tar 7Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??
Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi nakuumiza mara 10 alafu fresh, maisha yenyewe mafupi haya, mi niwe na stress alafu wew ucheke ili kiwe nini... sipendagi ubwege kabisa, na nitabaki kwenye kumbukumbu zako milele ukijifanya kuniletea habari za ajabu..
Miez 8 iliyopita nilidate na dada mmoja hivi mrembo, height moja hivi mauzo sana na mzigo wa kuvuta huko nyuma haukuwa haba, kifupi mvuto wa yule dem hauna shaka, kama ni maksi basi A ya 95+... mapema nikamwambia mambo ya kiboya sitaki, km utacheat jitahidi nisijue, nikijua umeumia....Akajifanya hadi kulia pale kwamba ananilove nyang'anyang'a na kamwe hakuna mwanaume kama mimi, nikasema poa but take my words ukinizingua hutoamini nitakachokufany, na km hunitaki niache uende, na kama pia itakuw mechi za dharula tu alafu kimya tuambiane, moyo wangu hauchezewi.. akasema nisiwe na shaka ananipenda, nikasema poa.
Tabia yangu ni kwamba kamwe siwezi kuwa na mpenzi zaid ya mmoja kwa wakati mmoja, so nikiwa na mmoja huyo huyo. Sasa mwezi mmoja nyuma nikausoma mchezo dizain kama demu wangu analiwa hivi, sikumuuliza, nikakomaa hadi nikapata password zake facebook na insta.. nikazama inbox yake, daah ni balaa tupu, ashapigwa mashine na mshikaji mmoja hivi, then jamaa dizain kama anakomaa naye amle 0715 hiv sema demu anabana.. text yake hii hapa..
"Baby naridhika sana nawew, ila unanibania side B, nyimbo za side A zote nimeskiliza why uninyime za side B mpenz?, kama side A nilsikilza kwa elfu 70 bas side B lazma dau lipande.. nielewe bas"
Demu akajibu..
"Mi nina mtu na tuna malengo je akigundua na kuniacha itakuwaje"
Jamaa..
"Hawezi gundua, kwani huwa anakagua huko, ila navyokujua huwez nibania.. nitakutoa out ukafanye shopping ya maana, na nitakutumia 100,000 kesho"
Demu...
"Mmh poa tutaangalia tukikutana tar.22 jamaa akiondoka kama tulivyopanga".
Zipo nyingi nying but hizo kiufupi,....
Mimi kwa huyu demu..., nampa nachopata, najinyima sana apate yeye, nishamtoa shopping za maana mara kibao na tayari nishaandaa pesa nzuri tu kwa ajili yake, Krismass na mwaka mpya, maana tar.hizo sitakuwepo kutokana na majukum ya kazi yangu, nammudu kiujumla, nguo, usafiri, pesa ya kula, malazi nafanya mimi.. yeye hana chochote zaid ya gamba lake la diploma. Muda wote huo sina demu zaid yake.. na on bed naperfom fresh hadi anaomba poo yeye..
Nilichokifanya baada ya kugundua hilo, nimescreenshot charting zote hadi picha walizopiga wakiwa lodge wametumiana kupitia fb messenger nimejitumia kwenye simu yangu, then nimeuchuna.. kifupi tayari nimeshampiga chini ila siwez kumwambia tuachane kiboya boya hiv bila yeye kuonja joto la jiwe kidogo, na kamwe sitafanya naye mapenz tena.. ambacho kimebaki kwake ni kumpa kidonda cha milele..
Ifahamike ananipenda japo tamaa anazo, ashanitambulisha kwa rafiki zake wote, dada yake, hadi mama yake.. kifupi anaitwa mrs mimi... na uchafu anaoufanya ni siri kubwa sana na ndo maana anatumia fb messenger maana anajua siwez hisi chochote huko.. tayari tarehe ya kupeleka barua ishapangwa, tarehe 07 jan... mashangazi zake wote wanajiandaa kwa tukio hilo.. upande wetu pia tunajiandaa..
Nataka nifanye nini?? Siku hiyo ya tukio la kwenda kwao kujitambulisha rasmi ndo siku yangu ya kumuumiza, maana kwao anaaminika sana, anaimba kwaya kanisan, ana vyeo vingi ving vya huko kanisani.. na huwezi mzania hata kidogo kama ni mshenzi.. siku hiyo mbele ya Mchungaji wake, ndugu zake, mama ake, mashangazi na marafiki zake wakiwa na smartphone zao naenda umiza mtu vibaya sana, sio kwamba nitampiga hapana, ila nataka nimafanyie tukio ambalo litaweka maumivu ya kudumu kwenye moyo wake na kamwe hatokuja nisahau..
Tarehe 7 january, save the date....
USIPOTEZE MUDA KUNISHAURI CHOCHOTE, HUWA NIKIPANGA SIPANGUI..
' A SADIST SOB'Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??

OverKwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo??

Jamaa sidhan kama anataka imsaidie yeye anakomesha manziOkay, ila haitakusaidia chochote! Pole