Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Kwamba wewe unajua undani wa story kuliko hata msimuliaji husika!
 
Basi unajikuta mchambua uzi wote na comment za watu.
Mwanamke anapokua limbukeni 🙄🙄
 
Ni mwanaume mpuuzi tu na mwenye akili za kitoto anaweza kufanya upumbavu aliofanya huyo mjinga. Angekuwa Ndio amemfanyia mwanangu ningemalizana nae kiume na pengine asingekuwepo hapa kusimulia upuuzi wake
Ukifikia stage hio ya kufanya hivyo we unadhani yeye atakaa kiboya

Mfano mimi ukifikia stage ya kunitishia maisha na ukafanya attempt kabisa nikasalimika unadhani nitakuangalia tu[emoji2]
 
Hehehe mzee hongera kwa msimamo...

Ifike wakati tuheshimu mawazo ya mtu,,, ukiona unalofanya wewe ni sawa basi inatosha...

Ila mkuu kazi ya kuua / kunyonga unaweza kuifanya bila shida yoyote.... Muhimu watu wafike dau tu.. Nafikiri wew ni mfano wa shetani anayeishi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mama mmbwa ww,strong like a lion,story tamu.
 
Huyu ni mimi kabisa najiona, ninapoingia kwenye relation na mwanamke huwa kuna makubaliano tunayaweka ila huwa wanafikiria ni utani juu ya hilo

Utakapoenda tofauti na makubaliano yetu ya kimahusiano, Aisee siwezi kukuacha kirahisi kabisa na ni lazima lifanyike jambo la kukuachia kovu na jeraha kubwa ktk kumbukumbu za maisha yako
 
Aisee, ngoja niendelee kutafakari. Hata hivyo hongera kwa uandishi wako mzuri. Ila huo moyo? Hivi wewe hukosei watu hata huko ofisini? Wanakuahibisha hivyo hivyo?
 
Pamoja na yoote uliyoandika. Huyo mwanamke ndio alikuwa mkeo halali. Utakuja kumkumbuka. Mark ma word bro. Hii dunia haiko kama unavyofikir na kila binadam anapitia mambo mengi sana ujanan mpaka aje kuoa au kuolewa na ukizingatia na wewe utakuja kuzaa hukupaswa kufanya hivyo.
Na kwajins nikuonavyo huwez kuish na mwanamke. Nakuonea huruma aisee. Hv unafikir wewe ndio unavumbua maisha mkuu? Sio kila unachopanga kinakuwa kama unavyotaka vingine unadance accodingly. Hukupaswa kumfanyia binadam mwenzio hivyo hasa ukizingatia amekir kosa lake. Afanyeje sasa ili uelewe anajuta ajiue.? Nachokuahd mzee jiandae utapata dem kicheche hutaamin. Nachokushaur ndugu yangu. Usiishi kwa kukariri makosa ya watu. Vijana wenzio watakuona shujaa lakin cku ukiwa na watoto utajua ulikosea na mwanao afanyiwe hivyo utaumia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…