Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Hajamdhalilisha popote, kumbuka baba yake aliposema ukishindwa kuthibitisha kama bint yangu ni msaliti nitakushtaki kwa udhalilishaji na kumchafua bint yangu.
 
Yaani unaandika kama Shekh Yahaya.Unajiona nabii kutambua yajayo.Nenda kamuoe wewe ili upate mke bora.
 
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Maneno kuntu mkuu...nakazia hapo uliposema hawezi kuishi na mwanamke. Sio mwanamke tu hata marafiki sidhani kama anao na nina mashaka hata wazazi wake wanamuogopa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Comrade! Mm na kubaliana na ww 99%

kasoro sehem mmoja tu.iko ivi KWA MTAZAMO wangu huyo binti alikua mwanamke sahihi sana kwenye maisha yako.

1. REVENGE lakini yeye akapokea as a LESSON. Nakama unavyo jua we all learn good lesson in hard times moreover lesson makes us change.kwa jinsi binti alivyo kupambania ni wazi alikua amedilika totaly.em fikiria alivyo kubali maisha yake yote akulilie wewe em fikiria maisha yake yote alivyo amua ku dedcate kwako,amekua kichaa kwa sababu yako (she learnd so so much) ulitakiwa umsamehe mwamba[emoji16].kwasababu allways angeishi na ww huku aki prove that haiwez rudia kosa pia asingekua teyari kuwa let down wazazi na ndugu zake na ndugu zako pia kubwa kuliko asingeweza kuji let down tena ateseke kama alivyo teseka.hata kama angekua fala mwenye matope kichwan angeogopa msimamo wako ulivyo mkal

2.SHE LOVES U THAN ANY ONE AS,hajakukatia tamaa hdi leo ni miaka mingapi imepita.sina haja hata ya kuelezea mwwnyew unaona achana na huyo mbwa rafiki ake matako yasikuchanganye hamna mwanamke hapo she loves u for something , na huyo ukimuingiza tu kwenye maisha yako nu fault teyari.
Yani anainekana ana makando kando teyar ..ningekua mm ni heri nimchague alienikosea kuliko huyo malaya manafik.maana hujui her worse side.

UNATAKIWA NA WW UTUAMBIE UMEJIFUNZA NN KUPITIA HI STORY YAKO MKUU. Uku ukiendelea kukumbuka kua too much is harmful.una msimamo ndio but is too much .lesson ilikua delivery .sasa hilo tukio hamna amabaye litamfundisha zaidi yake yeye hamna litakaye mbadili zaidi yake.hapakua na haja yakufanya vile kama haukua na sababu yakumpa funzo na kumsamehe..zaid zaid umempa majuto na sio funzo amabalo hawezi kuli apply maana moyo wake bado upo kwako.

NAAMINI HATA WW HUO MSIMAMO WAKO ULIONAO ULITOKANA NA LESSON MOJA ULO IPATAGAA SIVYOOO?

#WEWE SIO GAIDII
 
Moja kati ya sheria za maisha ni mpe mtu second chance sio third chance , fourth and so on

Fanya hivyo ukutane na mabalaa

It was a wise decision kum dump so sidhani kama kuna majuto hapo.
 
Hapo umefanya hivyo wanakuita katili,Bado ungemsamehe ukamuoa na kumuwekea michepuko bado wangesema bora ungemuacha.Mimi nakushauri ungenyonga kabisa.
Binadamu huwa hawaishi kutafuta fault somewhere yaani lazima watafute leverage .

Ukishajua hilo huumizi kichwa unafanya mambo yao ,mambo yao unawaachia wenyewe(kama asemavyo smart911)[emoji2]
 
Jilindeni; kama ndugu yako akikosa, mwonye; akitubu msamehe. Na kama akikukosa mara saba katika siku moja, na kurudi kwako mara saba, akisema, Nimetubu, msamehe.'' ( Luka 17:3-4 )
 
kuna watu wanaroho ngumu ukweli mimi siwezi kabisa roho yangu nyepesi na huruma nyingi
 
Mkuu punguza makasiriko[emoji23]
 
Una roho ngumu sana mzee....
Dunia hii ukitaka iwe nyepesi na rafiki kwako inakutaka uwe na roho ngumu hasa,pia jifunze usianze wewe kumuumiza mtu subiri aanze yeye kisha umuonyeshe action.

Wanaume tunakutana na changamoto nyingi sana za kimaisha so hawa pumbavu wakileta upumbavu inabidi wafundishwe adabu kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…