Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Una ndugu wa kike.....itafikia hatua utakua na watoto pia.....matukio yote mabaya tunayowatendea watu...hua yanarudi tena kututafuna iwe kwetu au kwa watoto wetu.....Muombe sana Mungu aendelee kukupa maisha marefu.....kusudi akupe fundisho la maisha akupe maumivu.....alaf utakuja hapa kutuletea tena stori ya maumivu....ndefu kama hii!!!!
 
Kwani Huyo Binti yeye Alifanya Vyema Kwa Kutoka Nje. Anapigwa Nje na Jamaa Jingine ambalo Hata Inawezekana wangefunga Ndoa Wangeendelea Kupigana Miti
 
Kwani Huyo Binti yeye Alifanya Vyema Kwa Kutoka Nje. Anapigwa Nje na Jamaa Jingine ambalo Hata Inawezekana wangefunga Ndoa Wangeendelea Kupigana Miti
Toka umeanza mahusiano ujawai kucheat.....tofauti na hvo usaliti unafanyika hata kweny mambo mengine tofauti na mapenzi.....ukiona mtu amejua kosa lake na amelikubali kosa...msameh. tu.....basi hakuna kingine!!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kumsamehe msaliti HAPANA KWA KWELI.
Mi nikithibitisha tu umenisaliti ITS DONE ME AND YOU.
Hakuna cha second chance Wala nini, yaani ni kila mtu afate njia yake.

#YNWA
 
Jamaaa you made my day pita kwa mangi kunywa soda nakuja kulipa
 
Mkuu mm nakuheshim sana na ningekua rafiki yako ningefurahi sana, hongera sana kaka sisi wanaume na sio wavulana tunakunight kuanzia Leo utaitwa "SIR KOROE"
 
Kwa huu mkwala mkuu ata wadada wa jf wakickia MTU anaitwa KOROE watamuogopa na huu ndio mkwara wa kiume, nimekubali mkuu ww ndio real modal wa wanaume wengi kwa sasa APA jf, heshima kwako mkuu.
 
Cheat woman (wife) hapewi msamaha, personally nimewahi kushindwa kusamehe mwanamke aliyecheat end of the day we breakup. Guys, living with a cheat wife is the same as living with snake in the same house roof kama uko jela vile , manake kwa mtu kama mm nkimuona tu anatembea nakumbuka alichofanya ! I dont forgive cheat woman solution huwa mmoja ni kuachana ili niwe huru maanake kuishi na mzinifu ni sawa na maisha ya jela!! Jamaa umetisha sana hongera sana
 
Kumbe tupo wengi ume ndani tulio km jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…