Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Kipindi naanza kusoma sehemu ya kwanza niliogopa kuendelea, maana nilivyoanza kusoma hii story tu nilishasoma mtazamo wako. Ila nimeumia kwa ajili ya huyo binti Mungu pia amsamehe kwa dhambi ya uasherati.
 
Ukimpa mtu nafasi yathamani na akashindwa kuishikilia. Siku ikiondoka anajuta maisha yake yote.

Kinachomuumiza binti sio upendo bali ni majuto
 
Mliishia wapi na binti namba 2?
 

Na malipo ndio hayo aliyomlipa..au kuna mengine unaongelea???
 
Aisee!!
Huo mwamba sijui wa chuma[emoji848]
Kaka hana chembe ya huruma
Nilishuhudia jamaa kwenye daladala akitaka kumzingua mzee wa watu kisa watu walijaa sasa ikatokea mtu kashuka jamaa fasta akawahi kukaa mzee akawa anamwambia we kijana si umpishe mdada akae kisa anaujauzito weeee yule mbaba alikalipiwa mixer tusi almanusura wazichape. Nikajisemea watu wamevurugwa kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…