Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Umpoke mara ngapi Mkuu 🀣🀣🀣
Kwa hiki kisasi hata shetani atakuwa alipigwa na butwaa
 
Hii story ni ya ukweli nishakujua wewe ni nani na zamani nlikua na picha zako japo umejitahidi kusimulia kwa code kali sana ila nshakujua ila nikupe hongera hakika ulimpenda sana yule dada wa kimakonde na alikua mzuri wa sura haswa na kale ka rangi kake sasa sema nlikwambia wanawake wa vile sio wife material kabisa ni wakutumia tu maana msichana alikua anapenda bata yule loh....ngoja niishie hapa kwa leo....najua ushanijua
 
Aisee baada ya miaka mitano ndio unakuja kufungua code. JF hatari. Ila nakushauri kaa nalo maisha yaendelee
 
Naona mnafukua makaburi, JF ni kisima kikubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…