Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Daa uyu jamaa amefariki lini aiseeMbaya Zaid mchumi kutoka mzumbe honest ngowi amefariki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daa uyu jamaa amefariki lini aiseeMbaya Zaid mchumi kutoka mzumbe honest ngowi amefariki
Inaweza kuwaHizi ni Notes za IFM za Second year
Sina ABC za uchumi lakini ukiniuliza tatizo hasa la uchumi wa Tanzania mimi nitakumbia nchi yetu imekuwa ndiyo wachuuzi wakubwa wa bidhaa za nchi nyingine. Yaani kama nchi, hatuzalishi na wananchi wengi wamejiajiri kwenye sekta ya uchuuzi na kutoa huduma. Hili siyo jambo lenye afya kwa uchumi wa nchi yoyote.Unapongeza riba unapunguza matumizi
Kiuchumi riba ikiongezeka kasi ya kukopa inapungua hivyo pia matumizi ya watu yanapungua
Matumizi yakipungua na wauza bidhaa hushusha bei kwa sababu ya demand ya bidhaa zao kushuka
Huu ndio mwaka wa kwanza BoT kuingia kwenye mfumo wa interest rate based monetary policy
Kila baada ya miezi mitatu BoT itakuwa inaangalia hali ya uchumi na kuamua ikiwa wataongeza au kupunguza interest rate
Robo ya kwanza (Q1) Jan-March walianza na riba ya 5.5% robo ya pili (Q2) Apr-June wamepandisha hadi 6%
Acha tuone robo mbili zilizobaki Jul-Sep (Q3) na Oct-Dec (Q4) itakuwaje
Kuna watu wanauishi uchumi halisi, Hana elimu ya makaratasi lakini fedha zake zilizopo kwenye mzunguko zimempa experience halisi ya uchumi na ongezeko au punguzo la riba linamgusa moja kwa moja na anajua madhara yake kuliko mchumi mwenye master wa udsm/dom ambaye hajawahi hata kununua hisa.Kwa ufinyu wa akili yako unajua wasomi wapo udam na udom tu???!!!
Just kidding....Inaweza kuwa
Hiyo ni long plan process maana hapo unazungumzia tuwe na favourable balance of trade (exports of a country exceeds its imports)Sina ABC za uchumi lakini ukiniuliza tatizo hasa la uchumi wa Tanzania mimi nitakumbia nchi yetu imekuwa ndiyo wachuuzi wakubwa wa bidhaa za nchi nyingine. Yaani kama nchi, hatuzalishi na wananchi wengi wamejiajiri kwenye sekta ya uchuuzi na kutoa huduma. Hili siyo jambo lenye afya kwa uchumi wa nchi yoyote.
Ohoo, hapa umezidi kunifungua macho. Kumbe ni ''long process'' ambazo pamoja na kuwa na miaka 60 za uhuru, bado hatujaanza? Kwamba sasa hivi ndiyo tunatakiwa tujaribu kuangalia namna ya kuongeza thamani ya exports zetu! Aisee kazi ipo. Sasa ni kwa nini serikali haikubali kuwa tuna shida kubwa kwenye mfumo wetu wa uongozi na ikubali tuubadili? Katiba mpya, gang for life!!!Hiyo ni long plan process maana hapo unazungumzia tuwe na favourable balance of trade (exports of a country exceeds its imports)
Lazima tuwe na industrial base kubwa ili kupunguza importation au kuchuuza bidhaa kutoka nje na kuongeza exportation.
Lakini ili tufikie lengo hilo hiyo siyo overnight process ni mchakato wa miaka mingi na nidhamu ya hali ya juu kama walivyofanya China na mataifa mengine ya Asia kama Japan na South Korea.
Kwa sasa tuangalie kile tunacho-export tukiongezee thamani, mfano bidhaa za kilimo na madini tuziuze zikiwa value-added products that make it worth a higher price kuliko kuziuza kama raw materials
Kisha tuwe na long plan za kuwekeza kwenye heavy industries hapa tunahitaji hasa kuwekeza kwenye teknolojia, elimu, na sera nzuri za kiuchumi.
Hata kuwe na miaka 100 ya uhuru kama mna sera mbovu mtabaki palepaleOhoo, hapa umezidi kunifungua macho. Kumbe ni ''long process'' ambazo pamoja na kuwa na miaka 60 za uhuru, bado hatujaanza?
Tunarudi palepale sera mbovu za kiuchumi na siasa zimetufikisha hapaKwamba sasa hivi ndiyo tunatakiwa tujaribu kuangalia namna ya kuongeza thamani ya exports zetu! Aisee kazi ipo. Sasa ni kwa nini serikali haina tuna shida kubwa kwenye mfumo wetu wa uongozi na ikubali tuubadili? Katiba mpya gang for life!!!
Chanzo cha inflantion ya Bongo. BOT wanategemea miujiza hiyo pesa irudi labda waombe wezi wa fedha za umma waanze kufanya matumizi makubwa. Na walalahoi waache kuwandamaa mafisadi wanaponunua mabasi,timu za mpira, viwanja, mahekalu na kuhonga dada zenu.A government can also reduce government spending or reduce theft of project money to reduce money in circulation and reduce inflation.
In Tanzania there is rampant theft of government money, which increases money in the hands of individuals. Remember most of this money cannot be banked.
Wanazo wachache.......ukiona jinsi watu wanavyonunua mali ardhi nk utashangaaWameongeza kupunguza mzunguko wa fedha huku nje!
Kwamba pesa ni nyingi kiasi hiki? Mbona watu tunazitafuta hatuzioni na hali ni ngumu watu hatununui vitu hovyo sababu pesa hatuna...
Labda sababu ya mfumuko wa bei, wanataka kushusha.
Hii njia walioichagua itazidi kutuumiza wananchi, atleast wangetumia njia ya kuuza goverment securities.
Uchumi umekuwa, mfumko wa bei umepungua, fedha mtaani zimeongezekaBot waliposhusha interest benki nyingi hazikushisha interest kwa wateja wao. Hata wakipandisha ni sawa.
Juzi bungeni waziri mkuu kasema mfumko wa Bei umepungua lakini gavana kamuumbua.
Trend ya uchumi ipo hivyo ,tatizo wakopaji wanalijua hilo!? Watu wanakopa tu kama mazoea bila ya kuangalia riba imepanda au lah.Unapongeza riba unapunguza matumizi
Kiuchumi riba ikiongezeka kasi ya kukopa inapungua hivyo pia matumizi ya watu yanapungua
Matumizi yakipungua na wauza bidhaa hushusha bei au kubaki palepale kwa sababu ya demand ya bidhaa zao kushuka
Huu ndio mwaka wa kwanza BoT kuingia kwenye mfumo wa interest rate based monetary policy
Kila baada ya miezi mitatu BoT itakuwa inaangalia hali ya uchumi na kuamua ikiwa wataongeza au kupunguza interest rate
Robo ya kwanza (Q1) Jan-March walianza na riba ya 5.5% robo ya pili (Q2) Apr-June wamepandisha hadi 6%
Acha tuone robo mbili zilizobaki Jul-Sep (Q3) na Oct-Dec (Q4) itakuwaje
Ina maana TISS/POLISI au hata serikali hawajui kwamba huyu dogo anayenunua timu kula uchao na kuagiza mabasi Ni mwizi wa pesa za umma?Chanzo cha inflantion ya Bongo. BOT wanategemea miujiza hiyo pesa irudi labda waombe wezi wa fedha za umma waanze kufanya matumizi makubwa. Na walalahoi waache kuwandamaa mafisadi wanaponunua mabasi,timu za mpira, viwanja, mahekalu na kuhonga dada zenu.