Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Una imani na hivyo vyombo ulivyovitaja hapo juu?Ina maana TISS/POLISI au hata serikali hawajui kwamba huyu dogo anayenunua timu kula uchao na kuagiza mabasi Ni mwizi wa pesa za umma?
Kila mtu anajua alikotokea, Ni ule umasjini hohe hahe.
MTU analipa wachezaji toka uruguay na Paraguay tiss hawaulizi pesa ametoa wapi, MTU analipa makocha toka Lebanon na Malayasia hawajiulizi anafanya biashara gani?
MO tunajua vyanzo vyake, je huyu? Mabasi yangekua yanalipa kihivyo wazee wa Simba mtoto TANGA si wangeweza hata kuifadhili Coastal union au timu yangu AFRICAN SOORTS.
You must know the root cause of the disease before you prescribe the relevant medication!Kwa hyo nn maoni yako bwam mchumi daraja la tatu
Gavana wa Bot na kamati yake wamekuwa wapiga ramli!!Kutokuwa na imani naye haikusaidii pendekeza suluhisho na onesha alipokosea usiongee kama mlevi wa gongo. Governor wa BOT habahatishi.
selling government stocks,securities and tresury was better solution and i would have choosen this if i were in governor position!When there's inflation a government through it's central bank it can reduce money circulation by implementing fiscal and monetary policies in an economy.
Monetary policy may include increasing interest rates in borrowing money by commercial banks , which may increase rates to reduce money in an economy hence curbing of inflation.
Fiscal policy implementation may include selling of Govt stocks, securities, treasury bill, bonds at lower rate to reduce money supply in an economy hence reduction of inflation rate.
Also inflation may be reduced by increasing production in an economy to increase exports and reduce imports at the same time to strengthen the balance of payments.