Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Kanunue gari kwanza....kujenga baadaye....teh teh tehAsanteni sana wadau kwa ushauri... Nataka mwezi ujao nichukue, maana nimebakiza mwezi mmoja nithibitishwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanunue gari kwanza....kujenga baadaye....teh teh tehAsanteni sana wadau kwa ushauri... Nataka mwezi ujao nichukue, maana nimebakiza mwezi mmoja nithibitishwe
kwa sasa riba ya crdb na nmb ni 18% ila kuna mtu alinidokezea kuwa commercial bank wako vizuriKwa hiyo kiuhalisia unarufisha mara mbili ya hela uliyochukua
Mkuu kumbuka riba inakata kwa salio la mkopo lililopo kwa maana ni diminishing balance method.riba I = PRT/100
kama R= 17%
p= 12000000
T= 5
12000000x0.17x5= 10200000
riba kwa miaka mitano= 10200000
kwa hiyo ukichukua 12,000,000
riba kwa mwaka 10200000/5=2040000/=
utarudisha hela za watu 22200000/=
kwa miaka mitano
Pamoja na hiyo bado riba ni kuwa kiasi kwamba Mwananchi anashawishika kukimbia deni sio kulipa deni na hapa ndio unapoona nyumba zinapigwa minada.Mkuu kumbuka riba inakata kwa salio la mkopo lililopo kwa maana ni diminishing balance method.
Hamna anayetaka hasara ila watengeneze win win situations ambapo wao watapata kidogo na wakopaji watapata vinginevyo itakula sehemu.haya mabenk ni jipu lililoshindikana maana wenye hisa umo ni haohao viongozi wenu wao wanataka faida tu na sio hasara
ndani ya muda gani?u best uko wapi? umekopa mil 10 na utalipa mil 15,180,000 hapo umewapa faida mil 5 na ushee. yani riba ni nusu ya ulichokopa.
Mkuu 17% gawanya kwa 12 annually=1.4 ambayo ni monthly. Sasa ukiaza ku calculate mfano umechukua 12m kwa mda 5yrs 12,000,000 x 12/100 =168000 riba ya kwa mwezi. Sasa chukua 12000000/5=2400,000/12=200,000. So riba kwa mwez inakua 200,000 +168000=368,000. Sasa chukua hii hela mara miez 60 kwa maana ya miaka 5. Twende, 368,000 x 60 =22,080,000/=. Jamani si ndo hivi au mm nakosea.
Kwa hiyo kiuhalisia unarufisha mara mbili ya hela uliyochukua
Km huna hiyo m45 unaanzaje?
Lazima ukope.
Mimi pia nilikopa M10 nimeiwekeza duka la mazaga,mpesa simu na spea zake kijijini nakamua faida ya wastani wa 1.5 kwa mwezi (ukitoa gharama zote za uendeshaji)
Naanzia wapi kumshauri mtu asichukue mkopo benki?
Maana kiuhalisia unashindwaje kuzalisha 255,000 kwa mwezi toka mtaji wa m10? Mbona fursa ni nyingi?
Tatizo kila mtu anataka kufanya kitu kilekile mahala palepale siku zote!
Basi we dunduliza chako hata kwa miaka mitano ufanye yako
Pamoja na hayo Kiongozi bado Riba ni Mzigo, jana tu nilikua nipo Babati huko basutu kufuatilia mikopo kwa wakulima ni shida kuna baadhi wanajitahidi kwa shida sana na wanaweza ila bado wengi wanaonekana kabisa kwamba ngoma ni ngumu.
Huwezi kutoka bila Mikopo hata kidogo ila lazima tuzungumzie wazi Riba ni kubwa
6.68=12x(%)x5Hapo ndo hapaeleweki.... Sasa mmi niliambiwa na branch manager kwamba nikichukua 12m kwa 5yrs, riba plus principal itakua 18,680,000/=
ya biashara unakuta mara nyingi riba sio kubwa sana kwasababu mingi ni ya mwaka mmoja na ndio maana riba yake haizidi 24% kwa mwakaUkweli ni.kuwa riba ni tatizo na ndio maana watu wengi wanaishia.kupoteza nyumba na viwanja vyao. Sasa kwa mazingira hayo kweli kurejesha mkopo hasa ukute ni wakibiashara ambao utakuwa na riba kubwa zaidi si ndio itakuwa ishu zaidi.
Mfano me nilichukua mil 10 nakatwa 253,000 kws miaka mitano mkuu so kwenye mkataba inaonekana mwanzo mwenga,ila crdb is the best kwa wote
Kwa hiyo kiuhalisia unarufisha mara mbili ya hela uliyochukua