Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

Tunachukua mikopo ndiyo hivyo tu hatuna jinsi lakin mikopo ya NMB ina riba kubwa sana ukizingatia unakatwa miaka 5 hadi unazeeka bado unakatwa.
 
Nilikuwa crdb leo nimeambiwa wamesitisha huduma ya mikopo kwa watumishi kuna mambo wanaweka sawa.
 
Nawatonya tu msiosikia na wapenda mikopo kama mimi, bank zilizopo kwa ajili ya Watanzania ni CRDB, Posta bank na NMB fullstop
 
Nawatonya tu msiosikia na wapenda mikopo kama mimi, bank zilizopo kwa ajili ya Watanzania ni CRDB, Posta bank na NMB fullstop
Imekuaje kwanza,mbona haujamalizia story? Jamaa wameondoka na Sofa nini?
 
Imekuaje kwanza,mbona haujamalizia story? Jamaa wameondoka na Sofa nini?
Mimi ni mtendaji katika kijiji flani naona wanakijiji wanavyoteswa na hii bank tofauti kabisa na wale wanaochukua NMB, CRDB na Posta Bank. Mfano kuna jamaa kalalamika kuwa alituma rejesho usiku saa tatu na sms ya mpesa anayo lkn wao wamedai imesoma asubuhi hivyo kupigwa faini ya kuchelewesha. Mimi niko NMB hata nikichelewa nawapigia simu na wanakuambia jitahidi siku flani uwe umeweka na hakuna faini.
 
Acess ni free mason!
Hata owner wake hafamiki huko Uarabuni anafanya nini,
 
ha ha ha access bank ni nomaaaa

mikopo bora ukope kote ila sio access bank
 
Access ukifanya biashara ni mara moja tu. Huwezi kurudia tena. Nimelinganisha na ACB naona tofauti kubwa sana
 
Back
Top Bottom