Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio hujui hesabu.
Naenda crdb mkuuww unayejua nenda kakope
Imekuaje kwanza,mbona haujamalizia story? Jamaa wameondoka na Sofa nini?Nawatonya tu msiosikia na wapenda mikopo kama mimi, bank zilizopo kwa ajili ya Watanzania ni CRDB, Posta bank na NMB fullstop
Hahahahahaha!!!Imekuaje kwanza,mbona haujamalizia story? Jamaa wameondoka na Sofa nini?
Mimi ni mtendaji katika kijiji flani naona wanakijiji wanavyoteswa na hii bank tofauti kabisa na wale wanaochukua NMB, CRDB na Posta Bank. Mfano kuna jamaa kalalamika kuwa alituma rejesho usiku saa tatu na sms ya mpesa anayo lkn wao wamedai imesoma asubuhi hivyo kupigwa faini ya kuchelewesha. Mimi niko NMB hata nikichelewa nawapigia simu na wanakuambia jitahidi siku flani uwe umeweka na hakuna faini.Imekuaje kwanza,mbona haujamalizia story? Jamaa wameondoka na Sofa nini?
Sina uzoefu na NBC. Access wana haraka ya kutoa mikopo kumbe nje ya pazia ni majuto.NBC vp
HahahaaaaaaImekuaje kwanza,mbona haujamalizia story? Jamaa wameondoka na Sofa nini?
Mmmhhh wakisema hivyo basi subiri mwakaniNilikuwa crdb leo nimeambiwa wamesitisha huduma ya mikopo kwa watumishi kuna mambo wanaweka sawa.