Rich Gang; Huyu Ndo Jack Pemba Bwana

Mkuu nimeshindwa kubishana sana ukizingatia kuleta ubishi juu ya maisha ya watu wakati ninatakiwa niwaze pesa ya luku.
Swala sio ubishi-huwezi kuleta story za hearsay wakati mtu humjui-sasa umeongezea eti alikuwa anamdate binti wa club owner England-hii itakuwa straight from magazeti ya Shigongo
 
Kuna Jobiso original na dogo alikua anajiita Jobiso nadhan ndio uliyesoma naye mama yake alikua dancer pia alidanganywa na Defao anamchukua kumlea
Huyo dogo namfahamu. Alikuwa na heshima sana kwa siye Kaka zake..long time
 
Aunt Ezekiel akimuona anavyokula bata batani UG si anapagawa kweli...
 
Mama yake yuko kijijini ana hali mbaya sana..... Juzi kahojiwa alitoa neno moja tu "Namuachia Mungu"
Yuko Segerea kaka, majirani wanadai hata hela ya msosi na LUKU ni issue, nyumba haijasha, ya kawaida sana, haina ukuta wala maji, Pemba hafikiagi pale, akija hotelini, mama boda boda na daladala kwa sana, huyu Pemba kadata, hawa ndio wale baadaye wanakuwa vichaa mkuu
 


Labda sio mamaake.
 
Swala sio ubishi-huwezi kuleta story za hearsay wakati mtu humjui-sasa umeongezea eti alikuwa anamdate binti wa club owner England-hii itakuwa straight from magazeti ya Shigongo
Kuhusu ku break wewe ndio Mbishi hakua mcheza show kama chuche ila kidiscodisco anaweza
 
Huyu jamaa ninamkumbuka alikuwa mkali wa break dance miaka hiyo ya 19 kweusi, pamoja na kaka yake Eliud Pemba, mjengoni tulikuwa tunawaachia nafasi kwakweli.
Nawakumbuka hawa jamaa miaka hiyo niko primary walikuwa wanaishi maeneo ya upanga, kuna kaka yao mwingine alikuwa anaitwa Hosiana or Hosana something like that.
 
Bahati yake sana uyu, angekuwa bado yupo jiji la makonda, angeitwa na yeye central
 
Alisoma alama za nyakati akakimbia bongo mapemaaaaaaa
 
Msimlaumu pesa zina mambo mengi kwasababu atujui jinsi alivyo zipata inawezakuwa ni kosa kubwa kumsaidi mzazi wake inawezekana ata yeye apendi ila ni mashariti utafanya nn sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…