Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mkuu nimeshindwa kubishana sana ukizingatia kuleta ubishi juu ya maisha ya watu wakati ninatakiwa niwaze pesa ya luku.Achana naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimeshindwa kubishana sana ukizingatia kuleta ubishi juu ya maisha ya watu wakati ninatakiwa niwaze pesa ya luku.Achana naye
Nashangaa wananizungumzia sana utafikiri wananijuaDuh!! Kila mtu anasema yake, unganisheni yote ya jack pemba ili ipatikane story kamili
Swala sio ubishi-huwezi kuleta story za hearsay wakati mtu humjui-sasa umeongezea eti alikuwa anamdate binti wa club owner England-hii itakuwa straight from magazeti ya ShigongoMkuu nimeshindwa kubishana sana ukizingatia kuleta ubishi juu ya maisha ya watu wakati ninatakiwa niwaze pesa ya luku.
Huyo dogo namfahamu. Alikuwa na heshima sana kwa siye Kaka zake..long timeKuna Jobiso original na dogo alikua anajiita Jobiso nadhan ndio uliyesoma naye mama yake alikua dancer pia alidanganywa na Defao anamchukua kumlea
Yuko Segerea kaka, majirani wanadai hata hela ya msosi na LUKU ni issue, nyumba haijasha, ya kawaida sana, haina ukuta wala maji, Pemba hafikiagi pale, akija hotelini, mama boda boda na daladala kwa sana, huyu Pemba kadata, hawa ndio wale baadaye wanakuwa vichaa mkuuMama yake yuko kijijini ana hali mbaya sana..... Juzi kahojiwa alitoa neno moja tu "Namuachia Mungu"
Yuko Segerea kaka, majirani wanadai hata hela ya msosi na LUKU ni issue, nyumba haijasha, ya kawaida sana, haina ukuta wala maji, Pemba hafikiagi pale, akija hotelini, mama boda boda na daladala kwa sana, huyu Pemba kadata, hawa ndio wale baadaye wanakuwa vichaa mkuu
Jina lake ni Steven.Small jobiso NOT steven
Kuhusu ku break wewe ndio Mbishi hakua mcheza show kama chuche ila kidiscodisco anawezaSwala sio ubishi-huwezi kuleta story za hearsay wakati mtu humjui-sasa umeongezea eti alikuwa anamdate binti wa club owner England-hii itakuwa straight from magazeti ya Shigongo
Wewe itakuwa humjui jamaa vizuri. Kwa sisi tulioishi nae Upanga jamaa alikuwa break dancer mzuri tu enzi za food evening na house party pale sea view ghorofa refu.Jack Pemba hajawahi kuwa break dancer,utakuwa umechanganya
Nawakumbuka hawa jamaa miaka hiyo niko primary walikuwa wanaishi maeneo ya upanga, kuna kaka yao mwingine alikuwa anaitwa Hosiana or Hosana something like that.Huyu jamaa ninamkumbuka alikuwa mkali wa break dance miaka hiyo ya 19 kweusi, pamoja na kaka yake Eliud Pemba, mjengoni tulikuwa tunawaachia nafasi kwakweli.
Ni kweli lkn ata mimi nilisikia mama wa watu akilalamika, lkn ni muda mrefu sana, tangu miaka 2004Mama yake yuko kijijini ana hali mbaya sana..... Juzi kahojiwa alitoa neno moja tu "Namuachia Mungu"
Hela za mapepo hizo.Labda sio mamaake.
dada yake ndo alikuwepo tu