a.k.a_Mimi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 292
- 113
doh! hii sio kweli mkuu....alikuwa anaishi uingereza maisha ya kawaida ya box akazaa na mzungu akapata uraia wa uingereza. utajiri wake sio wa halali unatokana na black market escrow. wanaija wanaita 419.Alikwenda Uingereza akadate bint ambae baba yake ana club ya mpira, mzee alimwambini Jack mazima kuja kuendeleza football Tanzania, alitegemea atajenga academy wawe wanachukua vijana moja kwa moja kwenda kucheza Ulaya.
[emoji23] [emoji134] watumbueNashangaa wananizungumzia sana utafikiri wananijua
Teh teh teh wanakuongelea kumbe upo humu humu, kwanini wasikuulize mwenyewe mkuu?Nashangaa wananizungumzia sana utafikiri wananijua
ni ndugu na yule Junaitha?huyu mshkaji ni naskia mama ake anaishi hovyo kweli pesa zake sijui za kiganga...ushindwe kumsaidia mzazi wako
hapana huyu jack ni mnyakyusani ndugu na yule Junaitha?
Hahaha umenifurahisha ila umewaza kama mimiDuh!!kama ndiyo hivyo bora niendelee kugonga tembele tu.
Napata PM hapa wameshare Baba.Yule Junaitha anaonekana alibadili dini baada ya kuolewa na muislam,hata ile sura yake ukiikokotoa miaka 10,nyuma,utapata mtu kutoka Mwakalelihapana huyu jack ni mnyakyusa
junaitha mpemba km sikosei
Napata PM hapa wameshare Baba.Yule Junaitha anaonekana alibadili dini baada ya kuolewa na muislam,hata ile sura yake ukiikokotoa miaka 10,nyuma,utapata mtu kutoka Mwakalelihapana huyu jack ni mnyakyusa
junaitha mpemba km sikosei
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiikokotoa...Napata PM hapa wameshare Baba.Yule Junaitha anaonekana alibadili dini baada ya kuolewa na muislam,hata ile sura yake ukiikokotoa miaka 10,nyuma,utapata mtu kutoka Mwakaleli
Napata PM hapa wameshare Baba.Yule Junaitha anaonekana alibadili dini baada ya kuolewa na muislam,hata ile sura yake ukiikokotoa miaka 10,nyuma,utapata mtu kutoka Mwakaleli
wana sura ngumu kama walikunywa uji wa chuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiikokotoa...
inawezekana kabisa mbona sasa yule jacky hajitambui kaahhh...
Anawasumbua waganda ukiwatoa akina Ivan na rich gang yake na wengine wenye hela ...atasumbua masikini ma wenye vipato vya kati na sio matajiriyuko UG huko anawasumbua waganda mby
Maisha yanaenda kasi, Jack Pemba anamleta Koffi kumburudisha kwenye birthday yake, Aunt Ezekiel anadate na mkataviuno wa DiamondAunt Ezekiel akimuona anavyokula bata batani UG si anapagawa kweli...
Jack ni Mmalawi mama yake ndio mnyakyusahapana huyu jack ni mnyakyusa
junaitha mpemba km sikosei
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]wana sura ngumu kama walikunywa uji wa chuma
bibie sky eclat hongera kwa kula chumvi nyingi...nimekuwa nafatilia sana post zako hasa zile unazoandika kwenye mabandiko ya mzee Mohamed said.Huyu jamaa ninamkumbuka alikuwa mkali wa break dance miaka hiyo ya 19 kweusi, pamoja na kaka yake Eliud Pemba, mjengoni tulikuwa tunawaachia nafasi kwakweli.
Faiza ni mkubwa zaid anazungumzia Dar ya nyuma zaidbibie sky eclat hongera kwa kula chumvi nyingi...nimekuwa nafatilia sana post zako hasa zile unazoandika kwenye mabandiko ya mzee Mohamed said.
nilichogundua ni kwamba wewe ni kati ya wale "wadada wa mujini" wa dar es salaam ya enzi za mzee ruksa.
kiufupi kwa hapa JF wewe ni kiboko ya mwanamama faiza Foxy.maana na yeye kwa habari za dar es salaam ya zamani hajambo.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]