Rich gang members wamwaga mamilioni ya pesa kaburini kwa Ivandon

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] vpi tena pesa zimekuvuruga?
 
Umeona..wanataka kusababisha kaburi lifukuliwe. Na hao walioweka pesa hawajamtendea haki marehemu. Na sidhani aliwaambia wafanye hivyo siku akifa.
Kwanini zinaachwa humo humo?.Ni najua watazitoa na kuwapa wafiwa.Sheria za fedha kimataifa kufanya hivyo ni kosa kwa sababu pesa unayomiliki si Mali yako Bali ya serikali hivyo kuna sheria zinazozuia kufanya hivyo yaani kufukia na kuziacha humo.
 
VIDEO YA ZARI AKIGONGA KINYWAJI WAKATI WAKIELEKEA KWENYE MAZISHI YA EX MUME IVAN SEMWENGA.
 


Zote hizo ni mbwembwe, kufa ni kufa tu.
 
Reactions: SDG
Itakuwa ni fakes zilizochapishwa na 3 D printers
 
Mara milioni 10 mara milioni 30 wabongo utafikiri mlikuwepo mkazihesabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila daah watu wanakufuru jamani wewe unatupa hela zikaoze mwingine hana hata hela ya kula daah!
 
uyo ndo alikuwa boss wao
mambo yakipinda ndani ya miezi3 tu watazirudia
 
Hivyo Uganda hakuna Serikali? Hao wote waliomwaga fedha kaburini walipaswa kukamatwa na kushtakiwa mahakamani. Hili ni kosa la jinai. Ni sawa na kuchana fedha hadharani. Maana yake umeziondoa fedha ya serikali katika mzunguko halali wa kiuchumi.
 
Kwa ina nn? Mbona unaongea kwa uchungu hivyo?

Bank inanidai ulipo tupo, bodi inanidai mkopo wa elimu ya juu.

Mtaani nilikopa laki nne niliikopa kwa riba ya laki na ishirini, sasa hivi nalipa hiyo riba tu . Deni bado.alafu nyie mnaitaja 30m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…