Rich Mavoko acha roho mbaya na ukiendeleza hutofanikiwa abadani

Rich Mavoko acha roho mbaya na ukiendeleza hutofanikiwa abadani

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya Diamond Platnumz licha ya kusainiwa WCB.

Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama ukimchunguza kwa makini.

Wasanii WCB damu kuanzia Harmonize ,Rayvann, Mboso na DJ Rommy Jones ni watu ambao hawapo na diamond kinafiki wapo real kabisa na hii imethibitishwa hata na ujio wa Wasafi TV hawa jamaa wapo mstali wa mbele kumsapoti diamond lakini huyu jini mkata kamba Rich mavoko na yule muimba kaswida wanamuonea kijicho bosi wao kwa maana hata kuposti wanaposti kinafiki tena kwa kuogopa lawama.

Na hilo limejithibisha kwa maana Diamond aliomba kwa mtu yeyote anaye sapoti wasafi TV aweke logo ya wasafi kwenye dp yake lakini haya majini wakata kamba Mavoko na Lavalava hawajafanya hivyo ikimaanisha kwamba hawako pamoja na diamond.

Kiukweli hawa ni wanafiki wakubwa wasio kuwa na shukurani hivyo hawafai kuendelea kubaki usafini.
 
Ukiona hivyo kijana hataki kubezi upande mmoja anataka kazi zake zichezwe kote kote
Mfano.
Nakumbuka Rama dee aliingilia tofauti ya Ruge na Sugu kisa Sugu rafiki yake walivyopatanishwa yeye hakawa hana pa kwenda.
Huwa hamuoneshi diamond ushirikiano kabisa na ana muonea kijicho sana
 
Mi naona anachokipinga Diamond kwa Clouds na Ruge kuhusu unyonyaji ndo huo pia unamkumba Richmavoko dhidi ya Diamond ..

Diamond ukitaka kutendewa haki nawe pia watendee waliochini yako
 
Mi naona anachokipinga Diamond kwa Clouds na Ruge kuhusu unyonyaji ndo huo pia unamkumba Richmavoko dhidi ya Diamond ..

Diamond ukitaka kutendewa haki nawe pia watendee waliochini yako
Anamnyonya Mavoko kivipi?

Huyo Mavoko amejaa roho ya kwa nini
 
usimfananishe Rich mavoko na hamonaizi wewe.
Rich anajitambua
unadhani kumfata fata diamond hadi chooni ndo kutoa sapoti?

Rich anajitambua ,hata lavalava wana life style yao ya kitulivu
Kabisa,kwanza Rich sio mtu wa mitandao sana,na maisha yake hayako mtandaoni,ni ngumu kumwelewa
 
Mmh walimwengu mna kazi jamani mshaanza kulia safari hata haijaanza ikianza je si mtasaga na meno.

Uskmfananishe harmo na rich,harmo hana cha kujitambulisha bila kuiga kwa dai wakati rich anaweza simama yeye kama yeye
 
Wasafi TV ndo nini!!! Katika timu zilizopanda ligi kuu sijaiona hiyo Wasafi TV bali nimeona kuna KMC, Coastal Union, Biashara, African Lyon, Alliance..... hebu nijuzeni
 
Rich Mavoko hayuko Wasafi kama hisani au anasaidiwa maisha. Hapana
- Anaimba, anafanya show PERCENT yake anachukua na kilichobaki NDOMO MPENDA NGONO anachukua kutokana na MKATABA Wake.

Mavoko hana HISA Wasafi TV,
Hana hisa Wasafi Radio,
Hana hisa WCB yaani ni sawa na mtoto anaekaa kwa jirani, baba na mama wa familia wanapokuwa wanawapangia FUTURE watoto wao, wewe mtoto wa kupita HUHUSISHWI ni kama MAVOKO.

- Kama ni KIBEPARI BEPARI Wamlipe AWATANGIZIE, kwani wao mbona kila PERCENT anayoingiza wanakata mpaka HELA, Mpaka MAGARI Wanayowazawadia huwa WANAKATANA sasa kwanini yeye afanye BURE BURE tu !

-USIWE MSUKULE WA NDOMO MPENDA NGONO mpaka UNAKERA !

Siku yoyote anaweza kuondoka na kutafuta maisha kwingineko,
 
We jamaa ndo yule nakukutaga pale dabiliusibi ukiwa unadeki vyoo na kupiga deki au siyo wewe kweli?

Acha umbea ngosha wanaume hatuko hivyo msela wangu
 
Back
Top Bottom