Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Haka kajamaa bado kanaendeleza chuki zake dhidi ya Diamond Platnumz licha ya kusainiwa WCB.
Haka kajamaa kana roho mbaya sana na hata tabasamu lake akiwa na Diamond unaona kabisa ni feki kama ukimchunguza kwa makini.
Wasanii WCB damu kuanzia Harmonize ,Rayvann, Mboso na DJ Rommy Jones ni watu ambao hawapo na diamond kinafiki wapo real kabisa na hii imethibitishwa hata na ujio wa Wasafi TV hawa jamaa wapo mstali wa mbele kumsapoti diamond lakini huyu jini mkata kamba Rich mavoko na yule muimba kaswida wanamuonea kijicho bosi wao kwa maana hata kuposti wanaposti kinafiki tena kwa kuogopa lawama.
Na hilo limejithibisha kwa maana Diamond aliomba kwa mtu yeyote anaye sapoti wasafi TV aweke logo ya wasafi kwenye dp yake lakini haya majini wakata kamba Mavoko na Lavalava hawajafanya hivyo ikimaanisha kwamba hawako pamoja na diamond.
Kiukweli hawa ni wanafiki wakubwa wasio kuwa na shukurani hivyo hawafai kuendelea kubaki usafini.