Rich Mavoko hana furaha ndani ya WCB ingawaje imemletea mafanikio ya muda mfupi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Msanii Richard Mavoko kutoka label ya WCB ambaye pia ni hit maker wa ngoma ya Show me anaonekana hana furaha kabisa kuwepo ndani ya label hiyo sema ndo vile tu hana jinsi kwa kuwa WCB imemletea mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi na WCB imemtoa shimoni kwa kuwa alikuwa ameshaanza kusahaulika katika game

Kwenye post nyingi za WCB zinazotumwa mitandaoni huwa hawamuweki Rich au kama watamuweka basi atawekwa kwa pembeni sana . Rich kutoka moyoni hamkubali Mondi sema njaa tu imemfanya akasaini kwenye label hiyo

Rich amewahi kusikika mara nyingi kwamba yeye ni almasi na diamond ni kipande cha chupa hivyo yampasa mtu awe mjuzi ili aweze kutofautisha vitu hivyo viwili

Kama unamfatilia kwa makini utamuona kabisa hata tabasamu lake halitoki moyoni kabisa bali anajilazimisha tu . Na hata post iliyotumwa leo inadhihirisha ninachokisema



Diamond amepost picha hii na kuandika WCB for life bila kuwajumuisha Rich na Lavalava. Rich Mavoko pia ndio msanii mwenye followers wachache zaidi kutoka WCB ingawaje amemzidi followers Lavalava
 
Rich binafsi namuona ndo kipaji kikuubwa mno hapo WCB
but kipaji alone huwa hakimpi mafanikio

sometimes bahati pia

Anapaswa kujichanganya na kuusoma mchezo...
ili afike mbali
sijui why anafanya colabo na Harmonize mfano

sasa level yake ya colabo ni Davido au Wizkid...
anawabeba mno hao WCB
 
Wewe ni mmoja wa wale alowataja mkapa 2015
 
Rich amefeli sana alivyobadili aina yake ya uimbaji aliyojizolea umaarufu kabla hajaja WCB
 
Mashabiki na media tunapenda kutengeza habari na kuchochea bifu baina ya wasanii.
Naona tumeanza kazi ya analysis ya tabasamu za watu na mpangilio katika kupiga picha, tupige midomo tuwezavyo kwa kua hatuna kazi ya kufanya.
Mkuu kataa usikatae ukweli ndio huo

Nimefanya utafiti wa muda mrefu sana,sijakurupuka
 
Huyo msichana mbona hajavaa nguo?
 
Wee kavae Nguo acha zako alafu mwez mtukufu ukianza baibui mpaka miguuni poor looking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…