Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Msanii Richard Mavoko kutoka label ya WCB ambaye pia ni hit maker wa ngoma ya Show me anaonekana hana furaha kabisa kuwepo ndani ya label hiyo sema ndo vile tu hana jinsi kwa kuwa WCB imemletea mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi na WCB imemtoa shimoni kwa kuwa alikuwa ameshaanza kusahaulika katika game
Kwenye post nyingi za WCB zinazotumwa mitandaoni huwa hawamuweki Rich au kama watamuweka basi atawekwa kwa pembeni sana . Rich kutoka moyoni hamkubali Mondi sema njaa tu imemfanya akasaini kwenye label hiyo
Rich amewahi kusikika mara nyingi kwamba yeye ni almasi na diamond ni kipande cha chupa hivyo yampasa mtu awe mjuzi ili aweze kutofautisha vitu hivyo viwili
Kama unamfatilia kwa makini utamuona kabisa hata tabasamu lake halitoki moyoni kabisa bali anajilazimisha tu . Na hata post iliyotumwa leo inadhihirisha ninachokisema
Diamond amepost picha hii na kuandika WCB for life bila kuwajumuisha Rich na Lavalava. Rich Mavoko pia ndio msanii mwenye followers wachache zaidi kutoka WCB ingawaje amemzidi followers Lavalava