Rich Mavoko hana furaha ndani ya WCB ingawaje imemletea mafanikio ya muda mfupi

Mimi namzungumzia Rich wewe unanitajia akina ommy na alikiba, ni kina nani hao katika hili?
 
mavocco ile style alotumia kuimba nyimbo zake iliishia kwenye pacha wangu!!..nilikua naipenda sana ipo slow flan hii ya sasa naona anataka blend na kina harmonize, rayvanny,mond etc namuona anakosa unique!!..
 
Mashabiki na media tunapenda kutengeza habari na kuchochea bifu baina ya wasanii.
Naona tumeanza kazi ya analysis ya tabasamu za watu na mpangilio katika kupiga picha, tupige midomo tuwezavyo kwa kua hatuna kazi ya kufanya.
Nashukuru kwa maneno yako tisa (9) uliyomalizia kuandika.
 
Unachosema ni sahihi kabisa, Richard alipaswa kuanzisha tample yake, maana uwezo na umaarufu na umri ulikua sawa tu na DAI. Sema sijui Nani alimpa ushauri wa kukata tamaa.
 
Ww umetumwa na Rich Mavoko ulie - lie kwa niaba yake?
Meneja Salam, Babu Tale, na Producer wao hayupo pichani na hakuna kilichoharibika?
Ziara zote anazokwenda Diamond lzma ambebe mgongoni Mavoko?
Rayvany alivyokuwa USA kwa BET ulimwona akiwa na Simba?
Ww ndiyo huna furaha baada ya Mavoko akiwa na akili zake timamu bila kulazimishwa na mtu kujiunga WCB.
 
Tumewekeza sana kwenye majungu umbea na udaku kuliko kufanya kazi. jpm
 
Mpuuzi huyu. Yani wabongo tunapenda sana majungu.
 
Mnahangaika kwakweli na mambo ya watu
 
Lengo kuu la uzi tuone kibukta cha huyo mwanamke hivyo vingine ni vya kujazia jazia
 
Hivi uyo mkaa uchi kazi yake ni nn hapo wcb? au ndio kiburudisho cha wcb? lakini hakina hata mvuto hakifananii hata kuwa jike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…