Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Furaha ya mtu binafsi wewe unaitambuaje kwa kuangalia picha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi namzungumzia Rich wewe unanitajia akina ommy na alikiba, ni kina nani hao katika hili?Rich mavoko kuwa kwny lebel ya mond ni kosa ila ommy kusainishwa kwny lebel ambayo kiba ni miongoni mwa vioongozi pale ni kawaida tu watu hata hamlioni punguzeni mihemuko.......kuhusu kukosa raha izo ni personal feeling huwezi jua kuwa huyu mtu hana raha mpk pale atakaposema mwenyewe
Nashukuru kwa maneno yako tisa (9) uliyomalizia kuandika.Mashabiki na media tunapenda kutengeza habari na kuchochea bifu baina ya wasanii.
Naona tumeanza kazi ya analysis ya tabasamu za watu na mpangilio katika kupiga picha, tupige midomo tuwezavyo kwa kua hatuna kazi ya kufanya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nashukuru kwa maneno yako tisa (9) uliyomalizia kuandika.
Unachosema ni sahihi kabisa, Richard alipaswa kuanzisha tample yake, maana uwezo na umaarufu na umri ulikua sawa tu na DAI. Sema sijui Nani alimpa ushauri wa kukata tamaa.Msanii Richard Mavoko kutoka label ya WCB ambaye pia ni hit maker wa ngoma ya Show me anaonekana hana furaha kabisa kuwepo ndani ya label hiyo sema ndo vile tu hana jinsi kwa kuwa WCB imemletea mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi na WCB imemtoa shimoni kwa kuwa alikuwa ameshaanza kusahaulika katika game
Kwenye post nyingi za WCB zinazotumwa mitandaoni huwa hawamuweki Rich au kama watamuweka basi atawekwa kwa pembeni sana .
Rich kutoka moyoni hamkubali Mondi sema njaa tu imemfanya akasaini kwenye label hiyo
Rich amewahi kusikika mara nyingi kwamba yeye ni almasi na diamond ni kipande cha chupa hivyo yampasa mtu awe mjuzi ili aweze kutofautisha vitu hivyo viwili
Kama unamfatilia kwa makini utamuona kabisa hata tabasamu lake halitoki moyoni kabisa bali anajilazimisha tu .
Na hata post iliyotumwa leo inadhihirisha ninachokisema View attachment 538016
Diamond amepost picha hii na kuandika WCB for life bila kuwajumuisha Rich na Lavalava
Rich Mavoko pia ndio msanii mwenye followers wachache zaidi kutoka WCB ingawaje amemzidi followers Lavalava
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Je ww huwo mda wa kusoma hiyo thread nzima na kupata cha kukomenti umeutoa wapi
Ww umetumwa na Rich Mavoko ulie - lie kwa niaba yake?Msanii Richard Mavoko kutoka label ya WCB ambaye pia ni hit maker wa ngoma ya Show me anaonekana hana furaha kabisa kuwepo ndani ya label hiyo sema ndo vile tu hana jinsi kwa kuwa WCB imemletea mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi na WCB imemtoa shimoni kwa kuwa alikuwa ameshaanza kusahaulika katika game
Kwenye post nyingi za WCB zinazotumwa mitandaoni huwa hawamuweki Rich au kama watamuweka basi atawekwa kwa pembeni sana .
Rich kutoka moyoni hamkubali Mondi sema njaa tu imemfanya akasaini kwenye label hiyo
Rich amewahi kusikika mara nyingi kwamba yeye ni almasi na diamond ni kipande cha chupa hivyo yampasa mtu awe mjuzi ili aweze kutofautisha vitu hivyo viwili
Kama unamfatilia kwa makini utamuona kabisa hata tabasamu lake halitoki moyoni kabisa bali anajilazimisha tu .
Na hata post iliyotumwa leo inadhihirisha ninachokisema View attachment 538016
Diamond amepost picha hii na kuandika WCB for life bila kuwajumuisha Rich na Lavalava
Rich Mavoko pia ndio msanii mwenye followers wachache zaidi kutoka WCB ingawaje amemzidi followers Lavalava
Mpuuzi huyu. Yani wabongo tunapenda sana majungu.Ww umetumwa na Rich Mavoko ulie - lie kwa niaba yake?
Meneja Salam, Babu Tale, na Producer wao hayupo pichani na hakuna kilichoharibika?
Ziara zote anazokwenda Diamond lzma ambebe mgongoni Mavoko?
Rayvany alivyokuwa USA kwa BET ulimwona akiwa na Simba?
Ww ndiyo huna furaha baada ya Mavoko akiwa na akili zake timamu bila kulazimishwa na mtu kujiunga WCB.
Mnahangaika kwakweli na mambo ya watuMsanii Richard Mavoko kutoka label ya WCB ambaye pia ni hit maker wa ngoma ya Show me anaonekana hana furaha kabisa kuwepo ndani ya label hiyo sema ndo vile tu hana jinsi kwa kuwa WCB imemletea mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi na WCB imemtoa shimoni kwa kuwa alikuwa ameshaanza kusahaulika katika game
Kwenye post nyingi za WCB zinazotumwa mitandaoni huwa hawamuweki Rich au kama watamuweka basi atawekwa kwa pembeni sana .
Rich kutoka moyoni hamkubali Mondi sema njaa tu imemfanya akasaini kwenye label hiyo
Rich amewahi kusikika mara nyingi kwamba yeye ni almasi na diamond ni kipande cha chupa hivyo yampasa mtu awe mjuzi ili aweze kutofautisha vitu hivyo viwili
Kama unamfatilia kwa makini utamuona kabisa hata tabasamu lake halitoki moyoni kabisa bali anajilazimisha tu .
Na hata post iliyotumwa leo inadhihirisha ninachokisema View attachment 538016
Diamond amepost picha hii na kuandika WCB for life bila kuwajumuisha Rich na Lavalava
Rich Mavoko pia ndio msanii mwenye followers wachache zaidi kutoka WCB ingawaje amemzidi followers Lavalava
SawaEti tabasamu lake halitoki moyoni, we umejuaje? Kwa kuangalia picha za Instagram tu? Huyu Hance Mtanashati pumba pumba tupu kilasiku
Coco sijakuelewa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh
Kuchukua picha mtandaoni na kujiandikia eeeeeh
Kama hakuwepo walipo kikazi!?
Kituko kiroja
SawaMleta mada acha wivu wa kike
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] SawaMpuuzi huyu. Yani wabongo tunapenda sana majungu.