Rich Mavoko kwenda kusign WCB ni jambo la aibu

 
Usipaniki, hivi ni vitu vya kawaida, chukua mfano wa huko mbele wasanii wakubwa kama nick minaj, drake, lil wine, Mick mill, Rick ross na wengine wakubwa tu wanavyosign kwenye label ya msanii mwenzao Birdman ya YMCMB.. hivi ni vitu vya kawaida... Sema tu una chuki yako binafsi
 
Haya ni mambo ya biashara anayeweza kuelewa vizuri ni mteja na mwenye Mali. Juzi nimeona AY akiamua kumpa Salaam kazi ya umeneja ili Salaam awe meneja wa AY. Pamoja na uzoefu wote alionao AY kwenye muziki lakini ameona ni vema afanye kazi na WCB. Sasa huyo Mavoko unadhani hana akili?
Tujifunze kuweka maneno ya akiba
 
Basi uwe unajibu maswali sio unaleta mipasho.
 
Naona watu jamani hawajamuelewa lara1.
Ni kwamba Lara as a fan wa rich mavoko ambaye alikuwa juu balaa hata mimi nilitegemea ndio angekuwa Jembe now.....ashuke so fast kihivyo mpk kiwekwa level Moja na akina harmonize!!
What went wrong for him!! Hicho ndicho Lara anajiuliza. Ingawa mstari wa mwisho amerusha jiwe gizani. .....naona limewapata watu fulani
 
Bado ngoma ya HARMONISE
 
Ila AY hajasign na WCB. Rich angemuajiri Sallam sawa sio ku sign kuwa chini ya label ya artist mwenzie. Tseee tseeee steee SMH!
 

Mind you, AY hajasign WCB, AY kamwajiri Salam awe meneja wake pia. On the other hand, Salam anakuwa ana ajira mbili tofauti, ya kwanza ni kwa D na ya pili ni kwa AY.

Na hapa AY hahusiani chochote na WCB.
 
kulala na mwanaume mmoja haimaanishi kuwa tunafanana viwango!
kwahiyo rich kuwa lebel moja na harmo na ray haimaanishi kua viwango vyao viko sawa!
Rich mtu mzima anajua alichofata na nini kinampeleka WCB!
OVER....!
 
Swali kwako, unasema D kawaajiri kina Salam, je Mavoko atakuwa amewaajiri au ameajiriwa?

Usichanganye vitu mkuu, WCB ni label, Salam ni mwajiriwa WCB, mmiliki wa label ni D. Mavoko atakuwa mwajiriwa kama alivyo Salam kila mmoja kwa majukumu yake.
Kwani salam kaajiriwa kufanya nini hapo WCB kama sio kumsimamia Diamond? Pointi yangu ni kuwa watu wanaongea as if Diamond ndio atakuwa meneja wa Mavoko! Mavoko alichokifuata hapo ni management ya WCB, WCB kumilikiwa na Diamond sio ishu.
 
Kwani salam kaajiriwa kufanya nini hapo WCB kama sio kumsimamia Diamond? Pointi yangu ni kuwa watu wanaongea as if Diamond ndio atakuwa meneja wa Mavoko! Mavoko alichokifuata hapo ni management ya WCB, WCB kumilikiwa na Diamond sio ishu.

Unadhani WCB ni independent kwa anachokifanya Diamond?

Yaani wanaweza kufanya maamuzi ambayo yanakinzana na utashi wa Diamond?
 
Exposure pia muhimu watu awajatembea tusiwalaumu mtu katembea sana kaenda out masaki. So vitu vingine ni kusamehe tu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…