Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi wa Kichina, Wachina wanaacha Watoto wengi wanapopita kwenye miradi

Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi wa Kichina, Wachina wanaacha Watoto wengi wanapopita kwenye miradi

Bora tupate hybrids huenda zitadilute kidogo ujinga wa mbongo kwa kizazi kijacho😎
KWELI KABISA HUU UJINGA WA KUAMINI KWAMBA RAISI ANAJENGA HIKI, RAISI AMWAGA PESA, RAISI AZINDUA BAFU LA WASICHANA SHULE FULANI, RAISI ANUNUA PEDI ZA KIKE NK VINAWEZA KUPUNGUA KIDOGO
 
Kwa Hali hiyo Kuna umuhimu kwenye main contract na offsetting kuweka vipengele vya washenzi hao kuja na wakezao wakati wa ujenzi miradi husika na iwekosa Kwa Tanzania na kwao ikigundulika wameacha ufupi wao na vimacho vyao
 
Huyo mwandishi wa habari maQa lio alishindwa kuuliza swali hili👇
"Vipi serikali imejipanga vipi kuhakikisha huyo mtoto anapata huduma toka kwa mzazi wake aliye nchi za nje"?
Hawa Wachina nasikia wakisepa hawaangalii nyuma tena, tofauti na Wazungu
 
Kama ni mpango mkakati wa kuacha mbegu zao hebu tujiulize wachina waliokuja kujenga reli ya TAZARA je, waliacha mimba na watoto kama hawa wa sasa..?
 
Back
Top Bottom