Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Hapana, Lupita hana ngoma,HV lupita ndio mwenye ngoma au mm ndio Sina taarifa kamili ,Mara ya mwisho kusikia hbr zake ilisemekana Ni muadhirika
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ishu ya mbinguni unaijua weweKumbe akifa haendi mbinguni anabaki hapo hapo
Aah mapema tu, alimpeleka kumkulia Dubai, ila ilikua ile ya "let's fvck but no strings attached"
Atambe si angeshatupia insta.Ndimo humo alimpigia video qeen wetu ?
Asipotumia hela walioajiriwa kwenye viwanda watakosa kazi.Matumizi mabaya ya Hela
Aposti tena naona ilikuwa ni one night dreamYule binti wa kibongo sijui ataolewa?
Huwa wanajisikia vibaya sana usipowajua wapo radhi wamwage mamilioni Ili tu kununua sifa.[emoji23][emoji23][emoji23] jana niliona video kuna yule actor wa marvel anaitwa Chris pratt alikuwa na mtangazaji wanazunguka kuwauliza watu wanamjua yeye nani watu hawamjui mara waseme chriss evans [emoji23][emoji23][emoji23] ila hakuna alomjua nilicheka sana. Akazunguka na lupita pia mtu anaulizwa unamjua huyu hawamjui nilicheka sana
Mpaka unajiuliza watu wengine hawaangalii movie jamani
Mshamba huyu jamaaMbona kwenye hayo magari sioni LC300 huyu Rick Ross hajui magari nini?
Mshamba huyu jamaa
Mzee LC300 haiuzwi Marekani, mara nyingi ma celeb hununua LexusNa ulichoandika unakijua fika kabisa hasa magari gani ya celebraties wa mbele,
Kuna music video moja ya B.I.G kulikuwa VX zile za nyuma kabla LC100Mshamba huyu jamaa
Hata hizo huwaoni nazo wakishow off. Mostly RR kwenye SUVs ndio wanaipenda sana.Mzee LC300 haiuzwi Marekani, mara nyingi ma celeb hununua Lexus
Gari za washamba waliopata Hela ukubwani huku afrikaMbona kwenye hayo magari sioni LC300 huyu Rick Ross hajui magari nini?
Kwa sababu haiuzwi bei kubwa kama RR. Wale jamaa wanataka vitu flashy and expensiveHata hizo huwaoni nazo wakishow off. Mostly RR kwenye SUVs ndio wanaipenda sana.
Ile mitaa nahisi imekaa kishua Sana na wanaonekana wengi hawafatilii mziki. Dah!! Kitambo jamaa ckumbuki mwaka Ila nilikuwa iringa enzi hizo nahis ililushwa BET[emoji23][emoji23][emoji23] jana niliona video kuna yule actor wa marvel anaitwa Chris pratt alikuwa na mtangazaji wanazunguka kuwauliza watu wanamjua yeye nani watu hawamjui mara waseme chriss evans [emoji23][emoji23][emoji23] ila hakuna alomjua nilicheka sana. Akazunguka na lupita pia mtu anaulizwa unamjua huyu hawamjui nilicheka sana
Mpaka unajiuliza watu wengine hawaangalii movie jamani
Vyumba 109Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia.
Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni 13.5 mwaka 2020 na kuanza kuliongezea thamani. hadi sasa lina Vyumba 109, Bafu 21, Vyumba vya Kulala 12 na Sehemu ya Chakula inayoweza kutosha Watu 100 kwa wakati mmoja na ukubwa wa ardhi yake ni Futi za Mraba 55,000.
Kwa mujibu wa jarida la #BleacherReport ghama za matumizi ya Umeme kwa mwezi ni Tsh. Milioni 39.7, Bwawa lake la Kuogelea linatumia Lita Milioni 1.3 za Maji kujaa. Rick Ross anatajwa kuwa utajiri wa Tsh. Bilioni 128.7.
Vipi Mdau, Utatafuta Hela au tukuache kwanza?
================
Rick Ross' lavish home just got even more extravagant with his new $5 million floor from Antolini, a luxury stone company based in Italy.
The ultra famous rapper and entrepreneur has some expensive taste. [emoji91]
Architecture Digest