esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
mkuu,kuna watu wengine wanakopa benki kama changa la macho tu kuficha maovu yao.ni ili hata mkiona utajiri walio nao waseme tumekopa.subiri utasikia deni limelipwa hamna cha mnada wala nini.Si mlimwita Ridhiwani tajiri na kila jengo zuri nchi hii ni lake.. Si mlisema Ridhiwani ni Trillionea??
Si mlisema JK na Family walikuwa wanajichotea tu pesa kule Hazina?? Sasa kama walikuwa wanachota pesa tu ilikuwaje Ridhiwani akope benki ya biashara na ashindwe kulipa? Hapa ndipo tunaona wanasiasa walivyo wanafki na waongo..
hatudanganyiki.