Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

mkuu,kuna watu wengine wanakopa benki kama changa la macho tu kuficha maovu yao.ni ili hata mkiona utajiri walio nao waseme tumekopa.subiri utasikia deni limelipwa hamna cha mnada wala nini.
hatudanganyiki.
 
Kimsingi wakopaji mimi siwezi kuwalaumu kabisa, inaonesha waendeshaji wa hii bank walikuwa wanafanya biashara visivyo kabisa!!!
 
unachoshangaa nini?wewe hujawahi kusikia mtu ana ng'ombe 100 lakini anaenda kuiba ng'ombe 2?
mjini shule.kalagabaho.
 
Sasa mtu ana vitalu na bomba LA gesi aligawana pasu kwa pasu na contractor yaani alipata 1 Billion US $ leo hii benki uchwara inamfilisi
Tumia akili kidogo hizo hela alikuwa anazifua msoga? si zilikuwa zinapitia kwenye mabenki, zingine kwenye viroba zingine kwa mtindo wa kulazimisha kukopa benki kama hii ya Twiga na kutolipa.
 
Kumbe bosi wako Mbowe nae anadaiwa?
 
Sasa hapo unaona umeongea point??? kwahiyo unachojisifia hapa nini mdaiwa ni mdaiwa tu hata mabilionea wanakopa kama hujui.
 
kaaz kweli kweli.
Shigongo nae akichachamaa kudai mamilioni yake kadhaa si itabidi lumumba nao wauze jengo lao? halahala wasije wakaliuza kama chuma chakavu kama walivyofanya kwa ule mtambo wa uchapishaji.
 
Halafu mtu anasimama mbele yako na kubana pua,"Mbowe ndiye mwenyekiti pekee asiyelipwa mshahara."

Unajiuliza,"What the fvck is this fool talking about?"

Angekuwa pekee yake tungeambiwa sababu Ni mpinzani in fact hata hapo chamani anawapiga sana sema pamejaa mazumbukuku.

Huyo jamaa mdaiwa sugu kwenye taasis nyingi tu.

Time will tell.
 
Kama ilivyokuwa kwa Mbowe na LOWASSA. Walisema Mbowe kapewa bil. 10 na Lowassa akauza chama. Sasa jiulize pesa zote hizo angeshindwaje kulipa hayo madeni anayodaiwa? Sio kila kinachosemwa ni kweli mengine ni uzushi tu.
 
Mwenye deni halali dawa yake ni kulipa tu. Deni halina rangi labda kama mkopo ulikuwa na mizengwe.
 
Bawacha watu wa ajabu sana.. Kwa jinsi Riz walivyokuwa wakimuhusisha mpaka na biashara haramu leo hii adaiwe na benki uchwara??
Akili zako ni ndogo kweli kweli. Si atakuwa anafanya hivyo ili kuzuga hasa akijua watanzania hatupendi kushughulisha vichwa vyetu.
 
Walipe tuweze kulipwa amana zetu; tumejibana tukaweka akiba leo hii hatuwezi kutoa akiba yetu kwa matumizi ya familia!!!!
 
Una akili sana. Wazawa ni lazima waruhusiwe kuwa wavivu na kukopa bila malengo. Na wakiishiwa ni lazima serikali iwape tena mitaji. Kazi ina faida gani kwa binadamu?
 
Bawacha Riz si Trillionea? Sasa Trillionea anadaiwa na Regional bank
Kwanini asidaiwe? Lazima adaiwe na ikiwezekana ajifanye kushindwa kulipa ili jengo lake linadiwe na apate cha kujiteteta iwapo ufisadi wake utaanikwa siku zijazo. Atakuwa na sentensi fupi sana ya kujitetea: ''Hizi mali zingekuwa zangu ningeshindwa kulipa lile deni mpaka wauze jengo langu''! Halafu atajifanya kuangua kilio..... Watanzania wote watasema: ''Jamani ni kweli watu wanamsingizia tu, mwacheni''.
 
alikopa ili asepe nazo mazima,mpango ndio umebumbuluka sasa
 
MAULANA ILINDE NCHI YANGU TANZANIA MILELE YOTE AMEN RA
 
Kumbe ndio maana niliona akimsifia Lowassa maji yamefika shingoni?.....

Kweli kama Magufuli atawashugulia hawa ndio mafisadi sasa Wa nchi hii sio wakuchekea hata kidogo.

Magufuli washugulikie kweli kweli hawa ndio tatizo la nchi hii.....
sijakuelewa kukopa bank ni ufisadi???, nini maana ya kuwa na collateral, hebu acheni ujinga na utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…