Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Wadaiwa sugu benk ya Twiga Bancorp iliyochukuliwa na BoT wanaendelea kuhenya na kuhenyeshwa mitaani, imefahamika. Watu hawalali, watu hawanywi na watu hawali!

Zipo taarifa nyeti kutoka vyanzo vya uhakika kabisa kuwa mjengo wa Ridhiwan ulioko maeneo ya Sinza Mori huenda ukakumbwa na kimbunga kama dhamana juu ya deni analodaiwa kijana huyo na benki hiyo iliyofilisika hivi karibuni.

Hata hivyo thamani halisi ya jengo hilo bado haijajulikana.

Awali Rais wangu John Pombe Magufuli aliposema kuwa kuna wanasiasa wanaongea sana ilhali ni wadaiwa sugu kwenye mabenki hakika sikuelewa. Ila kadri siku zinavyoenda, inazidi kudhihiri kuwa hakika maneno ya Rais wetu ni kweli kabisa.

Taarifa rasmi nilizonazo ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee ni miongoni mwa watu waliochangia kufilisika kwa Benki hiyo. Taarifa hizo zinasema kuwa Freeman Mbowe peke yake anadaiwa mkopo wenye thamani ya shilingi bilioni saba hii ikijumuisha mkopo wenyewe na riba. Taarifa hizo zinasema kuwa kwa sasa Freeman Mbowe anahaha kuhakikisha anapata fedha za kulipa deni hilo ili kunusuru mali anazomiliki.

Taarifa hizo pia zinasema kuwa Halima Mdee alikopa Twiga Bancorp Juni 2011 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Ghorofa mbili ambalo hata hivyo halijafahamika liko wapi. Kwamba, Halima Mdee alikopa shilingi Bilioni 2.3 kwa ajili ya mradi huo deni ambalo mpaka sasa halijalipwa.

Niwasihi tu wale ndugu zangu wakopaji, dawa ya deni ni kulipa. Basi. Kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya kukwepa ulimbo.
 
Wadaiwa sugu benk ya Twiga Bancorp iliyochukuliwa na BoT wanaendelea kuhenya na kuhenyeshwa mitaani, imefahamika. Watu hawalali, watu hawanywi na watu hawali!

Zipo taarifa nyeti kutoka vyanzo vya uhakika kabisa kuwa mjengo wa Ridhiwan ulioko maeneo ya Sinza Mori huenda ukakumbwa na kimbunga kama dhamana juu ya deni analodaiwa kijana huyo na benki hiyo iliyofilisika hivi karibuni.

Hata hivyo thamani halisi ya jengo hilo bado haijajulikana.
Kweli acha na waisome namba ee

CCM ni ile ileeee Chalinze mnasemajee... tumejipangaa mwaka huu tumejipangaa.. tumejipangaa acha waisome nambaaa....!
Lakini JK ni wa kulaumiwa, anahusika kumchagua huyu. Nadhani alikuwa na ushawishi mkubwa
 
Mzee unaandika thread au unaandika ukweli? hahahaaaaaa..kusoma number bila shule ni sawa na kunywa uji kwa uma.
 
Wadaiwa sugu benk ya Twiga Bancorp iliyochukuliwa na BoT wanaendelea kuhenya na kuhenyeshwa mitaani, imefahamika. Watu hawalali, watu hawanywi na watu hawali!

Zipo taarifa nyeti kutoka vyanzo vya uhakika kabisa kuwa mjengo wa Ridhiwan ulioko maeneo ya Sinza Mori huenda ukakumbwa na kimbunga kama dhamana juu ya deni analodaiwa kijana huyo na benki hiyo iliyofilisika hivi karibuni.

Hata hivyo thamani halisi ya jengo hilo bado haijajulikana.
Kweli acha na waisome namba ee

CCM ni ile ileeee Chalinze mnasemajee... tumejipangaa mwaka huu tumejipangaa.. tumejipangaa acha waisome nambaaa....!

Erick Shigongo yeye ameamua kumwaga chozi hadharani, asema mpaka kieleweke ccm imlipe mabilioni yake; yeye na ccm mbele kwa mbele
 
Lakini JK ni wa kulaumiwa, anahusika kumchagua huyu. Nadhani alikuwa na ushawishi mkubwa

Acheni ujinga wenu sasa mlitaka mkopeshwe halafu hilo deni alipe nani? Mmeshindwa kurudisha fedha mlizokopa ,benki lazima irudishe fedha zake ilizowakopesha kwa kuuza dhamana zenu!! Kumbukeni hizo pesa benki ilizowakopesha ni za wateja wengine walio deposit humo na siku moja wakizitaka fedha zao benki itazitoa wapi kama haitauza dhamana zenu? Tulieni acheni sindano iwaingie taratibu.
 
HII NI DHARAU KUBWA KWA WATZ......HV KWELI MTU KAMA RIDHIWANI, NI WA KUSHINDWA KULIPA DENI?????? VP KAMA ANGESHINDA BERNARD MEMBE, HAYA MAMBO TUNGEYAJUA???? AMA KWELI "BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA"
 
Si mlimwita Ridhiwani tajiri na kila jengo zuri nchi hii ni lake.. Si mlisema Ridhiwani ni Trillionea??

Si mlisema JK na Family walikuwa wanajichotea tu pesa kule Hazina?? Sasa kama walikuwa wanachota pesa tu ilikuwaje Ridhiwani akope benki ya biashara na ashindwe kulipa? Hapa ndipo tunaona wanasiasa walivyo wanafki na waongo..
 
Kweli wapinzani wanaisoma/wataisoma namba.Afadhali sisi tuko CCM hatutaumia ...Magu kaza hivyohivyo baba
 
CCM ni ile ileeee Chalinze mnasemajee... tumejipangaa mwaka huu tumejipangaa.. tumejipangaa acha waisome nambaaa....!
headphones.png
trumpet.png
guitar.png
microphone.png
 
Lakini JK ni wa kulaumiwa, anahusika kumchagua huyu. Nadhani alikuwa na ushawishi mkubwa
Huyu alipatikana baada ya kambi mbili kusigana sana (ya mlima korosho na mchunga ng'ombe), na mwishowe kamati kuja kumuondoa mchunga ng'ombe kwa hila. Sasa supporters wa mchunga ng'ombe wakaunganisha nguvu ili mlima korosho akose kama walivyokosa wao, ndipo akapatina huyu. Hakuwa kwenye mahesabu kabisa. Take it from here!
 
duh!
hii benki inakopesha wana ccm,inajiamini nini?
Ndio maana tunapenda kujua mabenki wanavyolalamika eti biashara mbaya walimkopesha nani? Tatizo sio la JPM...tatizo ni namna baadhi ya banki zilivyokuwa zinafanya biashara.
Wakopaji wa kweli wenye uwezo wa kulipa wengi walikuwa hawafikiriwi kabisa. Wanakopeshana kwa vimemo.....wonders never cease to exist
 
Back
Top Bottom