Ridhiwani Kikwete ameikudu wizara nyeti. Walimu na watumishi wengine tumpongeze. Najua anachukiwa kwa mambo yake mengine ila...

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania.

Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha.

Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao.

Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na utawala bora. Amewakemea na wengi wao wamefyata mkia.
 
Amefanyaje?
Wizara gani watu wanalalamika?
 
hivi unawezaje kukusanya watu hewa na ukasifu kitu ambacho ufahamu.Nyie CCM
images (19).jpeg
 
Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania.

Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha.

Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao.

Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na utawala bora. Amewakemea na wengi wao wamefyata mkia.
Moderator kichwa cha habari kisomeke ameimudu
 
Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania.

Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha.

Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao.

Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na utawala bora. Amewakemea na wengi wao wamefyata mkia.
Umesahau kwamba mazafakas wa TISS wako kwenye wizara yake?
 
Back
Top Bottom