Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Kati ya watanzania 60milioni umemuona huyo tu ambaye tayari ana kila kitu?
 
Kwa mtu mwenye akili zako huru ( ukiacha wale wanaoazimwa akili na mwenyekiti wao wa chama) ukiweka siasa pembeni utagundua kuwa huyu dogo ana sifa angalau ya kupewa nafasi nyingine ya juu kwenye Taifa. Toka achaguliwe ubunge katika jimbo lake ameshafanya mambo ambayo Mbunge wa singida ndugu Lisu hajawahi kufanya kwa miaka yote zaidi ya 10 aliyochaguliwa jimboni kwake. Jamaa pamoja na kukaa bungeni toka 2005 mpaka 2015 na kukusanya mshahara wa mamilioni ya shilingi, lkn ameshindwa hata kutoa hela kidogo kuwasaidia wapiga kura wake wachimbe visima viwili vitatu vya maji. Afu eti ndo alitaka awe raisi wa nchi kupitia propaganda uchwara na siasa mfu za chama chake.
 
Yaani watu wengine kwa kijitoa dhamani!! Badala ya kutuambia kwa nini yeye mwenyewe asiwe promoted anaangaika na mtu mwenye uhakika wa maisha bila hata kupewa nafasi ya juu!!!
 
Hatujasahau Miradi iliyowekwa Bond na Wachina kwa ajili yake.
 
ina maana wakati wa mwendazake alikuwa hajaiva siyo!! ama ?
 
kakutuma nini braza, kwani wengine hawapo jamani? maana kuna wale waliozaliwa huko mbwinde na hawana hata connection lakini wana mawazo mazuri sana tu
 
Kuna haja ya kuwa na vigezo vingine kwenye teuzi ya nafasi hizi kubwa kuliko kuangalia utendaji wa kisiasa..
 
Sawa riziwani tumekusikia
 

Konda unapiga debe toka kituo gani cha daladala?
 
`Hivi, huyo Ridhiwani, akidunduliza vijisenti anavyologoteleza huko mjengoni hawezi kufungua farm itakayomfanya billionaire? ... sababu kubwa inayotufanya tusiendelee ni kuendekeza siasa/ujinga!
 
Eleza alipata digrii ya daraja gani? Kichwani mtupu, boss!
 
Unaujua upendeleo?Unaamini favour inayopata chalinze ni kwa sababu ya Ritz,poleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…