Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅😅 The RETURN of the MsowGer EmpireAhaa baada ya kuona gap, mmeanza kuja na mapambio, vumilia tu huwenda akaingia kujaza ile nafasi iliyoachwa wazi maana saa hivi msoga gang wanarudi kwenye enzi.
Kati ya watanzania 60milioni umemuona huyo tu ambaye tayari ana kila kitu?MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
A new roman empire....😅😅😅😅😅 The RETURN of the MsowGer Empire
Exactly, vitabu vya historia vitakuwa na mengi ya kuandika maana tumesharudi kwenye uchifu!A new roman empire....
Kwa mtu mwenye akili zako huru ( ukiacha wale wanaoazimwa akili na mwenyekiti wao wa chama) ukiweka siasa pembeni utagundua kuwa huyu dogo ana sifa angalau ya kupewa nafasi nyingine ya juu kwenye Taifa. Toka achaguliwe ubunge katika jimbo lake ameshafanya mambo ambayo Mbunge wa singida ndugu Lisu hajawahi kufanya kwa miaka yote zaidi ya 10 aliyochaguliwa jimboni kwake. Jamaa pamoja na kukaa bungeni toka 2005 mpaka 2015 na kukusanya mshahara wa mamilioni ya shilingi, lkn ameshindwa hata kutoa hela kidogo kuwasaidia wapiga kura wake wachimbe visima viwili vitatu vya maji. Afu eti ndo alitaka awe raisi wa nchi kupitia propaganda uchwara na siasa mfu za chama chake.MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Nyerere angekuwaga na mentality mbovu kama hizi hii nchi wanae na wajukuu wangekuwa wametapakaa sehemu zote nyeti nyeti.😅😅😅😅😅 The RETURN of the MsowGer Empire
Hata sisi poti wake mambo yangekuwa si haba.....Nyerere angekuwaga na mentality mbovu kama hizi hii nchi wanae na wajukuu wangekuwa wametapakaa sehemu zote nyeti nyeti.
Hatujasahau Miradi iliyowekwa Bond na Wachina kwa ajili yake.MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
ina maana wakati wa mwendazake alikuwa hajaiva siyo!! ama ?MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Sawa riziwani tumekusikiaMHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Eleza alipata digrii ya daraja gani? Kichwani mtupu, boss!MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Unaujua upendeleo?Unaamini favour inayopata chalinze ni kwa sababu ya Ritz,poleeeeKwa mtu mwenye akili zako huru ( ukiacha wale wanaoazimwa akili na mwenyekiti wao wa chama) ukiweka siasa pembeni utagundua kuwa huyu dogo ana sifa angalau ya kupewa nafasi nyingine ya juu kwenye Taifa. Toka achaguliwe ubunge katika jimbo lake ameshafanya mambo ambayo Mbunge wa singida ndugu Lisu hajawahi kufanya kwa miaka yote zaidi ya 10 aliyochaguliwa jimboni kwake. Jamaa pamoja na kukaa bungeni toka 2005 mpaka 2015 na kukusanya mshahara wa mamilioni ya shilingi, lkn ameshindwa hata kutoa hela kidogo kuwasaidia wapiga kura wake wachimbe visima viwili vitatu vya maji. Afu eti ndo alitaka awe raisi wa nchi kupitia propaganda uchwara na siasa mfu za chama chake.