JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hapo ingekuwa ni mtoto wa daktari kapendekezwa awe daktari wala usingevimba ila mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi unakuwa mwekunduuuu unaona ni usultani.😂😂😂Mawazo ya KISULTAN haya acha ujinga kuna seniors wangapi wenye uzoefu na elimu kumzidi hujawapendekeza au wewe ndio Riz mwenyewe. Acheni kujipendekeza kipumbavupumbavu hizi😡😡😡😡😡😡
Mfano haunendani rubani akimfundisha mwanawe urubani nani anamzuia.Hapo ingekuwa ni mtoto wa daktari kapendekezwa awe daktari wala usingevimba ila mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi unakuwa mwekunduuuu unaona ni usultani.[emoji23][emoji23][emoji23]
Jimbo lake bado ni kizungumkuti!MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Kwani kiongozi anazuiwa na nani kumfundisha mwanae uongozi? Au mwanae kujifunza kwa vitendo kutoka kwa baba?Mfano haunendani rubani akimfundisha mwanawe urubani nani anamzuia.
Haya kawafundishe wanaoKwani kiongozi anazuiwa na nani kumfundisha mwanae uongozi? Au mwanae kujifunza kwa vitendo kutoka kwa baba?
Ni kawaida mtoto wa mshona viatu kujua kazi ya kushona viatu maana ameishi akimuona baba akishona na jamii humsifia akirithi kazi ya baba.
Kwenye uongozi inakuwa tofauti sijajua kwann.
Kwangu mm naona mtoto wa kiongozi anaweza kuwa kiongozi mzuri.
Weshajifunza. Uwape tu kura ya ndio. Wakumbushe na wanao.Haya kawafundishe wanao
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
[/QUO
Je unajua habari ya ukoo wa panya?
Hizi ni nyuzi za dharau kubwa kwa watanzania.Kwanza baba MTU ndiye katufikisha hapa.Amefanya ufisadi wa kutosha na haoni aibu.Amefanya ufisadi wa kila kitu na bado anadai bandari ya bagamoyo ili nayo haifisadi.Inasemekana anafanya ufisadi huo kwa ajili ya wajukuu.Hiyo haitoshi.Wote aliofanya nao ufisadi na wakawekwa ndani na Magufuli Jemedari amewatoa ,mpaka wauaji wa watu.Haikutosha ,wale aliofanya nao kazi wakatufisadi amefanya mpango warudi kazini ili watufisadi zaid.Na ww kwa kuwa umeona sisi ni wajinga sana ,unaanza kumsifia mtoto wake naye awe waziri.Hii ni dharau kubwa kwa watanzania.Lakini IPO siku wataumbuka tu.Tunaamini kila jambo lina mwisho.MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Sema kweli Ridhiwani ni mtu poa sana,
Mungu ampe maisha marefu,
Kuna jamaa mwengine Omary Kigoda nayeye arudi kwenye ulingo,Vijana poa sana hawa wanaroho za Kitajiri sana.