Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mawazo ya KISULTAN haya acha ujinga kuna seniors wangapi wenye uzoefu na elimu kumzidi hujawapendekeza au wewe ndio Riz mwenyewe. Acheni kujipendekeza kipumbavupumbavu hizi😡😡😡😡😡😡
Hapo ingekuwa ni mtoto wa daktari kapendekezwa awe daktari wala usingevimba ila mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi unakuwa mwekunduuuu unaona ni usultani.😂😂😂
 
Kosa la Ridhwan katika nchi hii ni kuwa mtoto wa JK.... Wananchi wa nchi hii wanaamini Baba yako akishakuwa kiongozi katika nchi hii basi mtoto hufai kiwa kiongozi....hii ni dalili za uchawi na roho mbaya...
 
Hapo ingekuwa ni mtoto wa daktari kapendekezwa awe daktari wala usingevimba ila mtoto wa kiongozi kuwa kiongozi unakuwa mwekunduuuu unaona ni usultani.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mfano haunendani rubani akimfundisha mwanawe urubani nani anamzuia.
 
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria

Amejaaliwa sifa mbalimbali

•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu

Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Jimbo lake bado ni kizungumkuti!
Maji yatoka aendapo kiongozi fulani!.
Kulinganisha na anaowatumikia umasikini mkubwa hajawa wa kutumikia waTanzania. Aendelee kujiongeza.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Mfano haunendani rubani akimfundisha mwanawe urubani nani anamzuia.
Kwani kiongozi anazuiwa na nani kumfundisha mwanae uongozi? Au mwanae kujifunza kwa vitendo kutoka kwa baba?

Ni kawaida mtoto wa mshona viatu kujua kazi ya kushona viatu maana ameishi akimuona baba akishona na jamii humsifia akirithi kazi ya baba.

Kwenye uongozi inakuwa tofauti sijajua kwann.

Kwangu mm naona mtoto wa kiongozi anaweza kuwa kiongozi mzuri.
 
Haya kawafundishe wanao
 
Mbona hata mm nimekomaa na nimeivaa tu kuwa Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tz
 
jamaa anafaa sana ,mbeleni anaweza hata kuongoza nchi
 
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria

Amejaaliwa sifa mbalimbali

•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu

Anafaa & anastahili & apewe nafasi
[/QUO
Je unajua habari ya ukoo wa panya?
 
Vipi kuhusu mtoto wa Benjamin Mkapa, Nico, tumpendekeze na yeye apewe nafasi kubwa zaidi kuliko ya ukatibu Wizarani..? 😀😀
 
Sema kweli Ridhiwani ni mtu poa sana,
Mungu ampe maisha marefu,
Kuna jamaa mwengine Omary Kigoda nayeye arudi kwenye ulingo,Vijana poa sana hawa wanaroho za Kitajiri sana.
 
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria

Amejaaliwa sifa mbalimbali

•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu

Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Hizi ni nyuzi za dharau kubwa kwa watanzania.Kwanza baba MTU ndiye katufikisha hapa.Amefanya ufisadi wa kutosha na haoni aibu.Amefanya ufisadi wa kila kitu na bado anadai bandari ya bagamoyo ili nayo haifisadi.Inasemekana anafanya ufisadi huo kwa ajili ya wajukuu.Hiyo haitoshi.Wote aliofanya nao ufisadi na wakawekwa ndani na Magufuli Jemedari amewatoa ,mpaka wauaji wa watu.Haikutosha ,wale aliofanya nao kazi wakatufisadi amefanya mpango warudi kazini ili watufisadi zaid.Na ww kwa kuwa umeona sisi ni wajinga sana ,unaanza kumsifia mtoto wake naye awe waziri.Hii ni dharau kubwa kwa watanzania.Lakini IPO siku wataumbuka tu.Tunaamini kila jambo lina mwisho.
 
Hivi watukanaji wakitukana matusi huwa yana mfikia,au ni pongezi na uchawa wa kisiasa unamfikia kwa kasi ya mwanga.
 
Tanzania hakuna kiongozi anayewatumikia wananchi.
Wote wanatumikia matumbo yao.
Nionyeshe mmoja Kama unabisha
 
Hakuna alichoiva ridhiwani hapo,ni ufamilia tu ndio picha isiyojificha.
 
Sio mbaya

Ila daah "baba kasema" wanakula tu vyeo.

Life is fair to be unfair
 
Labda ameiva kuiba siyo kuongoza.
Baba yake kauza resources za nchi kwa bei chee,huu ukoo haufai.
 
Back
Top Bottom