Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria

Amejaaliwa sifa mbalimbali

•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu

Anafaa & anastahili & apewe nafasi
 
Mawazo ya KISULTAN haya acha ujinga kuna seniors wangapi wenye uzoefu na elimu kumzidi hujawapendekeza au wewe ndio Riz mwenyewe. Acheni kujipendekeza kipumbavupumbavu hizi😡😡😡😡😡😡
 
Ahaa baada ya kuona gap, mmeanza kuja na mapambio, vumilia tu huwenda akaingia kujaza ile nafasi iliyoachwa wazi maana saa hivi msoga gang wanarudi kwenye enzi.
 
Back
Top Bottom