Ridhiwani Kikwete kachukizwa na kitendo cha Nape kumpa bendera Diamond Platnumz?

Ila watanzania ni majuha sana wakiongozwa na viongozi wao hivi mtu anaenda kuimba dakika mbili tu na ananufaika yeye mwenyewe et anapewa bendera awakilishe watanzania, ingekuwa taifa stars si wangewapa na wake zao wakaenda nao kabisa huko gabon?!!
kwn ww unanufaika nn km taifa starz wakienda kucheza? au una gawio lako tff[emoji23][emoji23]
 
Kwa maelezo yako inaonesha kwamba Diamond kwanza kajipendekeza kwenda huko kufanya shoo alaf ili kutafuta kick zaidi kamualika Nape amkabidhi Bendera ya taifa
Mkuu ngoja nikueleweshe manake wewe una kichwa kigumu!.

Kwanza kabisa Nape alichofanya ni sahihi kabisa

Pili,Diamond hakumualika Nape kama unavyodai( uwe unafautilia vitu kwanza) .Dstv Tanzania na Multi-choice ndio waliomualika Nape na Diamond manake wao ndo sponsors wa Safari ya WCB kwenda Afcon.

Tatu,Diamond alichaguliwa na Multi-choice baada ya waandaji wa afcon kutoa nafasi kwa msaani kutoka Tz kutumbuiza siku ya ufunguzi wala hakujipendeza yeye mwenyewe...

TUJE KWE KICK YENYEWE SASA:

Kwanza ,Nape hausiki na kiki..,kiki inamuhusu Riz na Diamond..! Alichokiandika Riz kinampa Diamond attention kubwa kwenye media na social media kama insta,blogs, and all over which to me naona ni VIZURI manake anaongeza Fan base na muziki wa Tz unauza..

Mimi kiki ikiwa na manufaa nakuwa very greatfull and am happy with that...

Humu Jf sio kila mtu ni mnazi kama wewe, wengine tunatanguliza nchi mkuu!

Usikurupuke Tena!
 
Hicho kibegi chenye bendera kikaguliwe vizuri pale air port siku ya safari!
 
Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...

Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu

*Naota kuwa Ridhiwani anamfahamu zaidi Diamond zaidi ya nape na anashangaa kuona anakuwa na kipaumbele cha hivyo la msingi tumuombe Riz1 atuchanganulie zaidi why?ndoto yangu inaendelea kwa kuona kuwa hatoweza kumchambua kama karanga!
 
Sijajua kwanini diamond kukabidhiwa bendera imekuwa ishu kubwa humu jf
 
anachomaanisha ilitakiwa timu ya tanzania iwepo kwenye hayo mashindano, kama ingekuwepo hiyo bendera walipaswa kupewa timu ya taifa ila badala yake anapewa mwanamuziki ambaye anakwenda kuburudisha
 
huyo rizi angempatia anayeona anastahili kupewa, imeshindikana ndo maana akapawa msanii, mnalalama wakati mko kwenye ligi moja, msituhangaishe
 
Kwani lile sanamu la mondi pale posta linawekwa lini
 
Hizi bendera serikali inatoa tu hata kwa mambo ya kijinga.
 
Huyu nape naye kazidi Mara kwenye ufunguzi wa app ya Wema sasa kutoa bendera kwa mambo ambaya hayastahili yeye kazi yake sasa hivi angetupa mikakati ni jinsi gani atafufua michezo hapa Tanzania maana hata olimpiki ilikua majanga badala yake yupo busy na mambo ya kijinga.
 
Tunachokitafuta ili tuwe maarufu, tutakipata tu..!
 
Labda nape katumia ile kauli ya yule mbunge "aliependekeza tz tufute michezo"-nadhani anatokea iringa kama sijakosea, so kaamua kumpa platnum.
 
Kaongea ukweli mtupu,tff wanazingua bora diamond akatuwakilishe na Salome wake.
 
Point kubwa
 
Yeah kwa TFF ni aibu kubwa kwa Waziri wa utamaduni haina shida kabisa katimiza wajibu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…