Kwa maelezo yako inaonesha kwamba Diamond kwanza kajipendekeza kwenda huko kufanya shoo alaf ili kutafuta kick zaidi kamualika Nape amkabidhi Bendera ya taifa
Mkuu ngoja nikueleweshe manake wewe una kichwa kigumu!.
Kwanza kabisa Nape alichofanya ni sahihi kabisa
Pili,Diamond hakumualika Nape kama unavyodai( uwe unafautilia vitu kwanza) .Dstv Tanzania na Multi-choice ndio waliomualika Nape na Diamond manake wao ndo sponsors wa Safari ya WCB kwenda Afcon.
Tatu,Diamond alichaguliwa na Multi-choice baada ya waandaji wa afcon kutoa nafasi kwa msaani kutoka Tz kutumbuiza siku ya ufunguzi wala hakujipendeza yeye mwenyewe...
TUJE KWE KICK YENYEWE SASA:
Kwanza ,Nape hausiki na kiki..,kiki inamuhusu Riz na Diamond..! Alichokiandika Riz kinampa Diamond attention kubwa kwenye media na social media kama insta,blogs, and all over which to me naona ni VIZURI manake anaongeza Fan base na muziki wa Tz unauza..
Mimi kiki ikiwa na manufaa nakuwa very greatfull and am happy with that...
Humu Jf sio kila mtu ni mnazi kama wewe, wengine tunatanguliza nchi mkuu!
Usikurupuke Tena!