Binafsi napendekeza mbio za mwenge ziendelee na nina sababu zangu.
Ni ngumu kama wewe hujawahi kushiriki mbio za mwenge na ukajua umuhimu wake, Mimi nilimewahi kukimbiza mwenge katika ngazi ya wilaya na ngazi ya mkoa. My friends faida ni nying sana. japo nyakati zote nilikua sweepers lkn niliojionea kwa miradi kuzinduliwa mambo ni bam bam.
wasiwasi wangu ni kwenye kauli mbiu ya mwaka huu, hapo ni kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Amani ipi ya kutekwa watu, amani ipi ya watu kuuwawa, amani ipi ya matokeo ya kubumbwa, au ni amani ipi ya uchaguzi inaongelewa.
Wale askari magereza walioua kule manyoni kesi yao imeanza kusikilizwa?
???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
Ukiambiwa changanya na za kwako JK.
NO REFORM HATUJI KWENYE UCHAGUZI MTAJICHAGUA WENYEWE NA MTAJIPA WENYEWE.