Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

Kikwete ameyasema hayo leo katika uzinduzi wa usaili kidigitali baada ya kutembelea kituo cha usaili kidigitali Jijini Dar es Salaam
Mh, hayo mapazia! Hizo feni! Vipi chumba kimekaa kidigitali au kianalogi?
 
Acha kuwa zwazwa.... Read my comment "between the line"...
 
Hapa nasifu kabisa bila kinyongo!

Plus watumishi kupandishwa madaraja Kidigital that's game changer!

Na Ile diploma kupata mikopo ya kielimu aiseh Samiah kajitahidi!!

Hapo najivunia kuwa na KADI active niliyoilipia ya ki electronic ya chama cha mapinduzi!

Kazi iendeleee sana!!

Tatzo kule kwingine Sasa !!mama yangu ACHA kabisa Bandari,umeme,mwendokasi,Bwawa la Nyerere kufunguliwa na kusababisha mafuriko rufiji,rushwa,ubadhirifu kujuana aiseh!!!

Hapo nachukia hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…