Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

Ridhiwani Kikwete: Mfumo wa usaili wa ajira sasa kufanyika online. Hakuna tena kwenda Dodoma kwa usaili

Kikwete ameyasema hayo leo katika uzinduzi wa usaili kidigitali baada ya kutembelea kituo cha usaili kidigitali Jijini Dar es Salaam
Mh, hayo mapazia! Hizo feni! Vipi chumba kimekaa kidigitali au kianalogi?
 
Acha kuwa lomolomo bila sababu za msingi. Maximum time ya kufanya hiyo test ni 90 minute hutumii hata GB 2 ambazo ni kama 5000 tu.

Sasa twende kwenye uhalisia wa kwenda Dodoma Kwa mtu anayetokea Dar es salaam tu. Nauli atatumia zaidi 50000 kwenda na kurudi, atatumia zaidi ya 30000 kwa ajili ya kula siku zote mpaka kusubiri matokeo ya written, atatumia zaidi 50000 Kwa ajili malazi na Kwa makadirio ya chini mtu anayetoka Dar kwenda Dodoma Kwa ajili ya usaili anatakiwa kuwa na 150000 mfukoni hapo sijamgusia kabisa anayotoka kigoma au mara huko.

Sasa umerahisishiwa kutoka 150000 mpaka 5000 ya bando Bado unalalamika gharama ya bando, kweli watanzania ni walalamishi sana
Acha kuwa zwazwa.... Read my comment "between the line"...
 
Hapa nasifu kabisa bila kinyongo!

Plus watumishi kupandishwa madaraja Kidigital that's game changer!

Na Ile diploma kupata mikopo ya kielimu aiseh Samiah kajitahidi!!

Hapo najivunia kuwa na KADI active niliyoilipia ya ki electronic ya chama cha mapinduzi!

Kazi iendeleee sana!!

Tatzo kule kwingine Sasa !!mama yangu ACHA kabisa Bandari,umeme,mwendokasi,Bwawa la Nyerere kufunguliwa na kusababisha mafuriko rufiji,rushwa,ubadhirifu kujuana aiseh!!!

Hapo nachukia hapo!!
 
Back
Top Bottom