Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kumekucha mkuuSema hili neno "majobless" Kuna namna kama linakera hvπ€£ hv imagine unapita sehemu watu wanasema yule ni jobless
ππππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha mkuuSema hili neno "majobless" Kuna namna kama linakera hvπ€£ hv imagine unapita sehemu watu wanasema yule ni jobless
Hakuna watu wa hivyo zama hizi ,kwanza ilitakiwa watu wafanyie kwenye simu au laptop yake sehemu yeyote alipoSasa wale wasiojua hata kushika kasa wataganyaje?
Ingia kwenye ovuti utapata maelekezoNajisajili vp kwenye huo mfumo wao
Mungu ni mwema kaka!Kumekucha mkuu
ππππππππππ
Huyu ni kaka kwani Poor Brain Ebu njooMungu ni mwema kaka!
Duh! Nlijuaga ni mjuba sorry dada Poor BrainHuyu ni kaka kwani Poor Brain Ebu njoo
Mh, hayo mapazia! Hizo feni! Vipi chumba kimekaa kidigitali au kianalogi?Kikwete ameyasema hayo leo katika uzinduzi wa usaili kidigitali baada ya kutembelea kituo cha usaili kidigitali Jijini Dar es Salaam
Hapo shuhuli maana mifumo unakataa..Kama ulizoea vimemo imekukata
Punguza uchawa bingwaKazi nzuri ya Samia hii View attachment 2956144
Hapana mkuu watu wapo wengi tu.Hakuna watu wa hivyo zama hizi ,kwanza ilitakiwa watu wafanyie kwenye simu au laptop yake sehemu yeyote alipo
Acha kuwa zwazwa.... Read my comment "between the line"...Acha kuwa lomolomo bila sababu za msingi. Maximum time ya kufanya hiyo test ni 90 minute hutumii hata GB 2 ambazo ni kama 5000 tu.
Sasa twende kwenye uhalisia wa kwenda Dodoma Kwa mtu anayetokea Dar es salaam tu. Nauli atatumia zaidi 50000 kwenda na kurudi, atatumia zaidi ya 30000 kwa ajili ya kula siku zote mpaka kusubiri matokeo ya written, atatumia zaidi 50000 Kwa ajili malazi na Kwa makadirio ya chini mtu anayetoka Dar kwenda Dodoma Kwa ajili ya usaili anatakiwa kuwa na 150000 mfukoni hapo sijamgusia kabisa anayotoka kigoma au mara huko.
Sasa umerahisishiwa kutoka 150000 mpaka 5000 ya bando Bado unalalamika gharama ya bando, kweli watanzania ni walalamishi sana
Hata oral inafanyika Kwa njia ya simu yaani video conferenceHapana mkuu watu wapo wengi tu.
Kabisa wazo zuri sana wangeweka unafanya kwa simu/laptop sio centre.
Na ukichaguliwa oral si lazma uende dom au?
Basi ntakusifia wewe na mama Yako ili nisiwe chawaPunguza uchawa bingwa
Kama ni hivyo wamesaidia sana.Hata oral inafanyika Kwa njia ya simu yaani video conference
Mimi na wewe ,nani zwazwa ? Wewe ni lomolomo tu, yaani unaona gharama ya bando la 5000 ni kubwa kuliko kwenda Dodoma? Punguza ulomolomoAcha kuwa zwazwa.... Read my comment "between the line"...
Punguza uchawa.Basi ntakusifia wewe na mama Yako ili nisiwe chawa
Wewe umeshaolewa?Punguza uchawa.
Mtakuja olewa vijana wa kiume.
Read btn the lines...Mimi na wewe ,nani zwazwa ? Wewe ni lomolomo tu, yaani unaona gharama ya bando la 5000 ni kubwa kuliko kwenda Dodoma? Punguza ulomolomo